Zuchu: Diamond Platnumz alinipata nikiwa masikini na kunitunza kama mtoto wake

Mwisho akamtunuku. Maisha haya
 
Hii definition ya Masikini itabidi nirejee Kamusi yangu...., Huyu Zuchu kama alikuwa Masikini basi tunahitaji another level ya Umasikini....

I once cried cause I had no Shoes..., Until I saw someone with no Feet...
Neno nzuri ni lile alikuwa anatumia jiwe Jiwe kama anataka kupiga pesa...."Wanyonge"
 
Neno nzuri ni lile alikuwa anatumia jiwe Jiwe kama anataka kupiga pesa...."Wanyonge"
 
Na atamuweka kwa ajili ya "wengine wengi" maana akina zari, wema sepetu, walishapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…