Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
- Thread starter
- #21
Mwandiko umefanyaje?Mkuu tatizo sio habari, tatizo mwandiko

Mmh acha nikae kimya.Siwaguni wala siwakohoi.
Myasemayo wala hayanipi shida.
😂😂😂😂😂😂
Bora iwe hivyo.Mmh acha nikae kimya.
Sawa.kama wewe ni Mwanaume basi una uchoko sana,JF imevamiwa na machoko
Sema mwanetu hii mikato unayoleta jau.Bora iwe hivyo.
Habari zipo tele.Tupe habari hizo,,,,
Kupashana habari nalo jambo baya?Sema mwanetu hii mikato unayoleta jau.
Unatutia mashaka mabaharia wako.
Au sio 😹Siwaguni wala siwakohoi.
Myasemayo wala hayanipi shida.
😂😂😂😂😂😂
OkayAu sio 😹
Sema mna majibu watu wa upande huo..!!
Nilikuwa sitaki kukoment ila acha tu nichekeAu sio 😹
Sema mna majibu watu wa upande huo..!!
ChaiNilivumilia sana kutoipost hii habari lakini mmmmmh hapana kwa kweli acha tu niseme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haihitaji uwe na degree au masters kujua kile kichambo cha Zuchu kilikuwa kinamlenga mama dangote.
Kwanza chaguzi tu ya wimbo na namna alivyoimba kihisia ni jibu tosha kwamba lile dongo lilikuwa la mama dangote.
Zuchu aliimba kwa ustadi wa hali ya juu wimbo wa Aso kasoro ni Mungu , wimbo wa jahazi modern taarabu ulioimbwa na Fatma Mahmoud ukipenda muite Fatma Nyoro au Fatma mcharuko.
Zuchu bwana huu wimbo kautendea haki kwa 100% . Ni ngumu kuamini huu wimbo Zuchu ameimba live bila chenga chenga .
Kwa miaka kadhaa hata wale waimbaji wa jahazi walikuwa wanapata tabu sana kuimba nyimbo aliizoimba Fatma Nyoro kipindi ambacho Fatma amepata dharura ya kutofika kwenye show, Ila Zuchu ameweza kuliziba hilo pengo kwa kiasi kikubwa sana licha ya kutokuwa msanii wa taarabu.
Nadhani hiyo yote imetokana na usongo wa kumchamba mtu fudenge , aache kufatilia mapenzi ya watu kuingilia ingilia hovyo na kuleta maneno yaliyo jaa husuda ili kuwafarakanisha wapendanao.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Japo mtoto kapewa jina la mama dangote ila kichambo kilikuwa palepale.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumekucha😂Nilivumilia sana kutoipost hii habari lakini mmmmmh hapana kwa kweli acha tu niseme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa mke wangu nikirudisha makende yangu takuwekea Nini baby❤️, usifanye hivo baby, asali wangu wa moyo, etiiiKuna wewe na yule Alexido jz instagram mrudishe makende yetu.
Kumbe ni ID ya mzee wa chai 😁Hance, nilishakuambia utapakatwa Hance.
☕️☕️Nilivumilia sana kutoipost hii habari lakini mmmmmh hapana kwa kweli acha tu niseme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haihitaji uwe na degree au masters kujua kile kichambo cha Zuchu kilikuwa kinamlenga mama dangote.
Kwanza chaguzi tu ya wimbo na namna alivyoimba kihisia ni jibu tosha kwamba lile dongo lilikuwa la mama dangote.
Zuchu aliimba kwa ustadi wa hali ya juu wimbo wa Aso kasoro ni Mungu , wimbo wa jahazi modern taarabu ulioimbwa na Fatma Mahmoud ukipenda muite Fatma Nyoro au Fatma mcharuko.
Zuchu bwana huu wimbo kautendea haki kwa 100% . Ni ngumu kuamini huu wimbo Zuchu ameimba live bila chenga chenga .
Kwa miaka kadhaa hata wale waimbaji wa jahazi walikuwa wanapata tabu sana kuimba nyimbo aliizoimba Fatma Nyoro kipindi ambacho Fatma amepata dharura ya kutofika kwenye show, Ila Zuchu ameweza kuliziba hilo pengo kwa kiasi kikubwa sana licha ya kutokuwa msanii wa taarabu.
Nadhani hiyo yote imetokana na usongo wa kumchamba mtu fudenge , aache kufatilia mapenzi ya watu kuingilia ingilia hovyo na kuleta maneno yaliyo jaa husuda ili kuwafarakanisha wapendanao.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Japo mtoto kapewa jina la mama dangote ila kichambo kilikuwa palepale.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna wewe na yule Alexido jz instagram mrudishe makende yetu.
Kinacho nisikitisha ni dume zima kukaa chini na kuposti hii habari..!
Huu ni msiba
One man down
Mkuu tatizo sio habari, tatizo mwandiko