cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Au sio 😹
Sema mna majibu watu wa upande huo..!!
😂😂😂 ila uduguu, khaaa.
Au sio 😹
Sema mna majibu watu wa upande huo..!!
Huenda anataka yeye ndio awe mke wa Diamond..Acha kugombanisha mtu na mkwewe...sijui unapata nini kuchochea
Mjukuu, dai makende yote! isipokuwa ya mimi babu yako usije kujaribu.Kuna wewe na yule Alexido jz instagram mrudishe makende yetu.
KwaniniMjukuu, dai makende yote! isipokuwa ya mimi babu yako usije kujaribu.
Issue sio habari, ji habari za udaku wa kike. Mwanaume utatumiaje neno kichambo sijui kuchamba kweni mama dangote kajinyea?Kwani wapi wameandika mwanaume haruhusiwi kupost habari?
Mawazo mgando hayo .
Nilivumilia sana kutoipost hii habari lakini mmmmmh hapana kwa kweli acha tu niseme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haihitaji uwe na degree au masters kujua kile kichambo cha Zuchu kilikuwa kinamlenga mama dangote.
Kwanza chaguzi tu ya wimbo na namna alivyoimba kihisia ni jibu tosha kwamba lile dongo lilikuwa la mama dangote.
Zuchu aliimba kwa ustadi wa hali ya juu wimbo wa Aso kasoro ni Mungu , wimbo wa jahazi modern taarabu ulioimbwa na Fatma Mahmoud ukipenda muite Fatma Nyoro au Fatma mcharuko.
Zuchu bwana huu wimbo kautendea haki kwa 100% . Ni ngumu kuamini huu wimbo Zuchu ameimba live bila chenga chenga .
Kwa miaka kadhaa hata wale waimbaji wa jahazi walikuwa wanapata tabu sana kuimba nyimbo aliizoimba Fatma Nyoro kipindi ambacho Fatma amepata dharura ya kutofika kwenye show, Ila Zuchu ameweza kuliziba hilo pengo kwa kiasi kikubwa sana licha ya kutokuwa msanii wa taarabu.
Nadhani hiyo yote imetokana na usongo wa kumchamba mtu fudenge , aache kufatilia mapenzi ya watu kuingilia ingilia hovyo na kuleta maneno yaliyo jaa husuda ili kuwafarakanisha wapendanao.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Japo mtoto kapewa jina la mama dangote ila kichambo kilikuwa palepale.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Babu sitakiwi kabisa kufikia hii hatua ya kudaiwa makende! Ni hatua fikirishi na tatanishi sana.Kwanini
Hivi kweli unaacha kufikiria mambo yoote unamuwaza zuchu?Nilivumilia sana kutoipost hii habari lakini mmmmmh hapana kwa kweli acha tu niseme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haihitaji uwe na degree au masters kujua kile kichambo cha Zuchu kilikuwa kinamlenga mama dangote.
Kwanza chaguzi tu ya wimbo na namna alivyoimba kihisia ni jibu tosha kwamba lile dongo lilikuwa la mama dangote.
Zuchu aliimba kwa ustadi wa hali ya juu wimbo wa Aso kasoro ni Mungu , wimbo wa jahazi modern taarabu ulioimbwa na Fatma Mahmoud ukipenda muite Fatma Nyoro au Fatma mcharuko.
Zuchu bwana huu wimbo kautendea haki kwa 100% . Ni ngumu kuamini huu wimbo Zuchu ameimba live bila chenga chenga .
Kwa miaka kadhaa hata wale waimbaji wa jahazi walikuwa wanapata tabu sana kuimba nyimbo aliizoimba Fatma Nyoro kipindi ambacho Fatma amepata dharura ya kutofika kwenye show, Ila Zuchu ameweza kuliziba hilo pengo kwa kiasi kikubwa sana licha ya kutokuwa msanii wa taarabu.
Nadhani hiyo yote imetokana na usongo wa kumchamba mtu fudenge , aache kufatilia mapenzi ya watu kuingilia ingilia hovyo na kuleta maneno yaliyo jaa husuda ili kuwafarakanisha wapendanao.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Japo mtoto kapewa jina la mama dangote ila kichambo kilikuwa palepale.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
You're Under-arrest.Kwani wapi wameandika mwanaume haruhusiwi kupost habari?
Mawazo mgando hayo .
Wagombane mara ngapi?Acha kugombanisha mtu na mkwewe...sijui unapata nini kuchochea
Kwani kuna ubaya?Huenda anataka yeye ndio awe mke wa Diamond..
Muache mwenzio atupasheee, kwanza sio shida zakeHance, nilishakuambia utapakatwa Hance.
Name calling ni kinyume na taratibu za jamiiforums.
Maskini..... Ndo basi tena.... USHAKUWA HASARA. Hii dunia hii kwa kweli imechafukwa. Unakuta mtu unadhani hivi kumbe ni vile. Tunapoteza wanaume daily.
Ameposti kulingana na jukwaa linamtaka alete habari yoyote ya kiburudani,,,ok ulitaka alete habari gani kwa jukwaa hili?Kinacho nisikitisha ni dume zima kukaa chini na kuposti hii habari..!
Huu ni msiba
One man down
Sawa.Mkuu hebu jiangalie vizuri, inawezekana nut imeishaliwa threads na Bolt