Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
- Thread starter
- #61
Sawatimu haina striker ...huu ni msiba
Sawatimu haina striker ...huu ni msiba
Hakika, sio shida zangu kabisa.Muache mwenzio atupasheee, kwanza sio shida zake
🔥🔥🔥🔥Ameposti kulingana na jukwaa linamtaka alete habari yoyote ya kiburudani,,,ok ulitaka alete habari gani kwa jukwaa hili?
Wewe kama hutaki haya mambo nenda kwenye jukwaa lako pendwa asante
Hapo ndiyo anasema ..."oooh momma"...?
Wasanii katika usaniii! Wanajuana wenyewe