Zuchu kavalishwa kofia kwa heshima kuliko msanii yeyote wa kike Tanzania

Unaboa sasa
 
Lengo la hayo makofia ni nini haswa? sijaelewa mpaka muda huu naona watu wanavishwa makofia tu mara zuchu mara ambaruti?

Lengo ni?
 
Hivi siku hizi hamna tena habari mpya malejendari wa hii forum maana Era yenu ilikuwa kweli ya Jf celebrities [emoji4]..
wengine tumeshachoshwa na ushabiki wa kipuuzi wa siku hizi
Ushabiki gani kaka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lengo la hayo makofia ni nini haswa? sijaelewa mpaka muda huu naona watu wanavishwa makofia tu mara zuchu mara ambaruti?

Lengo ni?
Kufanya vizuri, but style ya kuvishwa ndo unakuwa umefanya vizuri zaidi, all in all amber ruty hajavishwa sawa achakutafuta kiki
 
Wala sikukimbii nataka nimpe ushauri tu.. we ndo nyoga mkalia ini.. I love you..๐Ÿ˜‰
ushauri mpe hapa hapa ,mleta uzi atamfikishia.Nilishaanza kununa ivo๐Ÿ˜ž
 
Hivi siku hizi hamna tena habari mpya malejendari wa hii forum maana Era yenu ilikuwa kweli ya Jf celebrities [emoji4]..
wengine tumeshachoshwa na ushabiki wa kipuuzi wa siku hizi

unajua zamani bwanaa ikifika jioni wote tunaenda chit chat au mtu anafungua uzi MMU tunakutana huko ila sanasana chitchat tunaweka story,kesho analeta huyo kesho kutwa mwingine sasa lazima kuna nyuzi itabamba zaidi watu wanahamia huko .tulikuwa tunajifurahisha tatizo kutukanwa na kuleteana stori za ajabu
Sasa tumeona tudeal na uchumi wa kati
 
Sasa nimeboa Nini Tena brother???

Grow up

Hata Nandy kavalishwa kofia, that meant nothing....

Kingine kwa sasa kwa akili zako unamwona zuchu ni bora kuliko mama yake mzazi khadija kopa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tambua una akili ndogo kama leo zuchu anakumahabisha kuliko legends wa kike nchi hii....

Umeona comments za wengine wanakuonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ