Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,198
- 4,191
unataka kununua ugomvi na handesamu wanguNjooo kwangu pesa sio tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka kununua ugomvi na handesamu wanguNjooo kwangu pesa sio tatizo
Hivi siku hizi hamna tena habari mpya malejendari wa hii forum maana Era yenu ilikuwa kweli ya Jf celebrities [emoji4]..[emoji23][emoji23][emoji23]
Wala sikukimbii nataka nimpe ushauri tu.. we ndo nyoga mkalia ini.. I love you..😉una mpango wa kunikimbia hendisamu!?😓
Unaboa sasaHabarini wana jamvi...?
Natumai mu wazima wa afya.
Hii imetokea Leo Zanzibar ambapo Zuchu bin kopa Kama The Best female east Africa musician alipotoa performance Kali sana pale viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar na kumuacha rahisi midomo wazi kwa furaha.
Nadiriki kusema kwanza Zuchu ndo msanii wa kike Tangu kampeni zianze kumsimamisha rais na kumchezesha huku akivishwa kofia, huku kwa wakiume Rayvanny the only BET winner akifunga milango.
Kwa maana hii hatuna budi kukubalina na ukweli kuwa Zuchu ndo new queen wa bongo flavour na Hana mpinzani kwa sasa.
Na Mwisho kabisa wimbo wa Zuchu Tanzania ya sasa ndo nyimbo Bora ya kampeni maana hajatoa remix na imebamba na kila ikipigwa rais anapagawa kuliko kifani.
Daaa we jamaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fact kaka, inabidi upewe uwaziri wa Sanaa na utamaduni.[emoji122][emoji122][emoji122]
Handesamu wapi, mwanaume anazifiwa pesa na sio sura njoo chapu ATM imejaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unataka kununua ugomvi na handesamu wangu
Ushabiki gani kaka[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi siku hizi hamna tena habari mpya malejendari wa hii forum maana Era yenu ilikuwa kweli ya Jf celebrities [emoji4]..
wengine tumeshachoshwa na ushabiki wa kipuuzi wa siku hizi
Sasa nimeboa Nini Tena brother???Unaboa sasa
Utamuweza wewe...?Wala sikukimbii nataka nimpe ushauri tu.. we ndo nyoga mkalia ini.. I love you..[emoji6]
Fact maana unatema madini balaaDaaa we jamaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kufanya vizuri, but style ya kuvishwa ndo unakuwa umefanya vizuri zaidi, all in all amber ruty hajavishwa sawa achakutafuta kikiLengo la hayo makofia ni nini haswa? sijaelewa mpaka muda huu naona watu wanavishwa makofia tu mara zuchu mara ambaruti?
Lengo ni?
ushauri mpe hapa hapa ,mleta uzi atamfikishia.Nilishaanza kununa ivo😞Wala sikukimbii nataka nimpe ushauri tu.. we ndo nyoga mkalia ini.. I love you..😉
😄wacha weeeHandesamu wapi, mwanaume anazifiwa pesa na sio sura njoo chapu ATM imejaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sawa upende weweWewe sio mtanzania
Ushauri wangu kwake ni atulie ujana ni maji yamoto..ushauri mpe hapa hapa ,mleta uzi atamfikishia.Nilishaanza kununa ivo😞
Hivi siku hizi hamna tena habari mpya malejendari wa hii forum maana Era yenu ilikuwa kweli ya Jf celebrities [emoji4]..
wengine tumeshachoshwa na ushabiki wa kipuuzi wa siku hizi
Sasa nimeboa Nini Tena brother???