Zuchu kuimba MABUNO kuna hatari kubwa kupoteza kizazi kijacho

Acha ujinga wewe, ulimwengu wa internet huu, Lea mwanao vzr, Mabaya yapo mengi, tu fundisha wanao jinsi ya kuona mabaya na kuyatambua,
Kama mtoto hawezi, kuelewa hili baya na lile zuri,basi huyo ni kilaza,
Huwezi, kuzuia kila kitu kibaya kisimfikie mtoto, internet na ulimwengu upo kwenye vidole,
Mtoto wangu wa miaka 6,anajua kutumia simu,computa, anaendesha, piki piki(ndogo), anajua nyimbo nyingi za bongofleva, anajua vitu gani vibaya vya kutokuangalia mtandaoni,
 
Oyoooooo!!! Umerudi mdogo angu??
Ulifichwa wapi kwan? [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hanii wako Mjep si yupo? Au unatafuta vita ya kilazima km hamas [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kwann lakinii? Wee habari huna kwani?
 
NYIMBO ZA KUPOTOSHA KIAZI ZINALIPA BALAA
WENYE MMALAKA WANAPENDA WATU WA HIVI,
WANATOA NAFASI YA MIALIKO MBALILMBALI KITAIFA
KWA WANAMUZIKI HAWA NA KUWAWEKA MBALI WANAMUZIKI KAMA NEY WA MITEGO, ROMA MKATOLIKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…