Zuchu kuimba 'matusi', nimeghafirika sana...

Hako ka zuchu ni kahuni tangu hakajaanza mziki.

Sasa kamepoa kuogopa camera za mapaparazi..

Anammeza kweli mzima mzima habakishi hata mkia..

Wala sio mtoto kama unavyomfikiria.
 
Wanaongozwa na pepo wachafu
 
kwani unaweza kukielezea kiwango cha dhambi zao ??..

ni sawa na chetu, kilichopita au hicho nilichokiongelea
Kiwango Cha dhambi kinajulikana na mwenye mzani wa kupima dhambi za wanadamu........
 
Simuungi mkono ila tukumbuke kuna nyimbo nyingi za unyamwezini zina lyrics kama hizo au mbaya zaidi tunazicheza miaka nenda rudi
 
Hako ka zuchu ni kahuni tangu hakajaanza mziki.

Sasa kamepoa kuogopa camera za mapaparazi..

Anammeza kweli mzima mzima habakishi hata mkia..

Wala sio mtoto kama unavyomfikiria.
Inawezekana kabisa,haiwezekan mtoto aliyekulia mwananyamala uswazi na kuelewa na mama mswaz awe na maadili,ni ngumu mno,afu kwa staili chafu anazozicheza anaonekana kakubuhu kwenye mazingira hayo toka mdogo.matokeo ya malezi mabovu kama ya Domo.
 
Huyo kakubuhu tangu bado hajapata umaarufu.

.mwanamke hamna humo mkuu.
 
Pamoja na yote ila Zuchu anaonekana ni mtamu sana kwenye masuala ya kugegedana
 
Wanadrop mdogo mdogo,
 
Sio lazima kuimba matusi ndio utoboe, ni maagizo tu wanatekeleza kutoka kuzimu
 
Usiuingize uislamu kwenye huu mjadala,si zuchu si wewe,hakuna anayeujya uislamu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Lini kautangazia ulimwengu?! As far as I know ni Sallam ndie alisema hizo habari alipokuwa akifanya intavyuu na Wasafi. Kama utakumbuka, katika kuonesha Wasanii wa WCB wanaingiza pesa ndefu, ndipo aliongea meeeeengi ikiwamo Rayvanny kulipwa mabilion huku akipotezea deals zingine. Na katika suala la kupotezea deals, ndipo akasema hata Zuchu nae huwa anapotezea deals za kutangaza vileo!! Labda kama nilipitwa lakini ninachofahamu hilo la Zuchu na vileo alilisema Sallam na sio Zuchu mwenyewe!
 
Ulimwengu tuliopo siyo wa ule wa mwaka 1960. Mjifunze kuishi kwa nyakati siyo chochote kile unataka kusikia na kuona kila kitu.
Kuna nyimbo za watu wote (wakubwa na watoto), kuna nyimbo za watoto na kuna nyimbo za wakubwa.
Hapo ndiyo wafrika tunapoonekana wajinga. Tunalazimisha kila nyimbo tuisikie tu.
Hata nyimbo za dini napo huwa tunabagua
 
Shida ya wafrika mnataka kila msanii aimbe nyimbo km za dini.
Shida kubwa ya wafrika mnataka kusikiliza na kuona kila kitu.
Kuna nyimbo za watu 18+ na za rika lote. Sioni ubaya wowote ule wa Zuchu
Hako ka zuchu ni kahuni tangu hakajaanza mziki.

Sasa kamepoa kuogopa camera za mapaparazi..

Anammeza kweli mzima mzima habakishi hata mkia..

Wala sio mtoto kama unavyomfikiria.
 
Shida ya wafrika mnataka kila msanii aimbe nyimbo km za dini.
Shida kubwa ya wafrika mnataka kusikiliza na kuona kila kitu.
Kuna nyimbo za watu 18+ na za rika lote. Sioni ubaya wowote ule wa Zuchu
Sawa mkuu,,

Mwache aendelee kupaka mate itelezee..
 
Nilijifunza hii double standard ya uislam ama baadhi ya waislamu pale Ruge alipokufa.

Alikiba aliweka picha nyeusi kwenye page yake ya instagram kuonyesha maombolezo ya Ruge Mutahaba. Alipoulizwa kwa nini hakuweka picha ya Ruge akasema uislamu unakataza kumposti marehemu, nikasema okay, kumbe uislamu ulishaona hadi mambo ya sosho media long time ago. Haikuchukua muda akafariki Kibonge, jamaa huyo huyo akamposti, nikajiuliza kwani kibonge sio marehemu ama uislamu unakupa uhuru wa kuchagua cha kufanya na sio cha kufanya?

Sasa huyo binti anasema alikataa ofa ya kampuni ya bia ila anaimba mambo mabovu kuliko mambo ya bia, inashangaza kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…