Sawa LGKula chuma ikoo
Sawa ujumbe umenifikia Mara moja nakuja PM chap
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nikaropoka kwikwiii khaa[emoji3][emoji3][emoji3] Mapepo haya
Una uhakika huyu jamaa ni mwanamke ?Kwa hiyo ww unawakilisha mtizamo wa jamii nzima?au kuna sehemu nimekulazimisha uupende.
Hii ni Celebrity Forum, umemzungumzia Zuchu kama Public Figure, so nimetoa mawazo yangu binafsi.
Na haibadilishi mtizamo wako binafsi/chuki sio wa jamii nzima,husicho kipenda ww kuna wengine wata kikimbilia.
Ila kama hii thread ulimwandikia Zuchu ni vyema ungemtumia kwenye acc zake binafsi za Social network, as long umeweka humu JF tegemea + na vilevile - comments,sababu JF ni jukwaa la jamii nzima,kutoa mitizamo pindi mada iletapo.
Uzuri huwaga sipendi kutukana wanawake JF japo lugha uliyo itumia sikuipenda,ila bado na kuheshim.
Honey🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani nimekaa mahala unapigwa wimbo wako unaitwa "HONEY"aisee ni mbayaaaa....najua utavuma Kwa vile wabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo.
Hivyo tu.
Mbona ka wimbo kazuri sana, kama haupo serious... ila kama upo serious sana hauto ona kama mzuri
Yaani nimekaa mahala unapigwa wimbo wako unaitwa "HONEY"aisee ni mbayaaaa....najua utavuma Kwa vile wabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo.
Hivyo tu.
ndio maana,Binafsi nipo serious ndio maana sijaulewa,kama ni Kwa ajili ya wasio serious ndio maana sijauelewa
Wewe jamaa, hapa hauvunjii wengine heshima ?Katakuwa kanalewa mate ya honeeeeeeeey wake[emoji1751][emoji1751]
🤣🤣🤣🤣Wimbo mtamu sana huu umekaa kinyegenyege tu