Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Na pia ukiwa Mwanaume na upo upo tu huna masuala ya wanawake utaitwa wewe shoga, wali mwengu hawafai bora hata wali kuku kidogo una afadhariWatu walizusha kuwa ni mashine ya kukoboa na kusaga kumbe bibie alikuwa anasaka msukuma mmojawapo
Asante mkuu umemaliza wanaotaka CV hio hapoTANZIA - Nkwabi Ng'wanakilala afariki dunia
Aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la Habari Tanzania SHIHATA na mhadhiri wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino, Nkwabi Ng'wanakilala amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza alipokuwa anaugulia matatizo ya figo yaliokuwa yanamsumbua kwa takribani wiki tatu...www.jamiiforums.com
Ila kaolewa ili?Yeye mwenyewe alishasema kwenye media kuwa hataki kuolewa wala kuzaa
Hii picha ni NKWABI akiwa kashika msalaba ktk mazishi ya baba yake mzazi mzee FUMBUKA NG'WANAKILALA. Inamaa na kijana NKWABI kabadili dili kwa ajili ya kumuoa huyo bibi au basi!!View attachment 2464379
ni kwa sababu mavazi ya harusi ya wakristo hayapendezi kwa waislamuSijui kwanini mavazi ya harusi ya waislamu huwa hayawapendezi.
Dini na carier yake imemshapeZuhura ile chombo imetuliaga sana, yule uhakika wa kuolewa alikua nao hata angefika miaka 60+ maana ni wanawake wachache sana wenye hulka kama yake
TANZIA - Nkwabi Ng'wanakilala afariki dunia
Aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la Habari Tanzania SHIHATA na mhadhiri wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino, Nkwabi Ng'wanakilala amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza alipokuwa anaugulia matatizo ya figo yaliokuwa yanamsumbua kwa takribani wiki tatu...www.jamiiforums.com
Kwahio jamaa ndo kamtoa bikra 🤔Zuhura ile chombo imetuliaga sana, yule uhakika wa kuolewa alikua nao hata angefika miaka 60+ maana ni wanawake wachache sana wenye hulka kama yake
Kwa miaka yote sikuwahi tambua kwamba Mzee Nkwabi alikua mkristo. Tumeishi nao Oysterbay ,wao waliishia Hill road ( Now Yesser Arafat st), kabla ya kuhamia Botswana ,ambapo waliishia nyumba mbayo baadae alihamia Mzee Liundi ambayo ipo jirani na nyumba aliyo ishi Mzee Apson.
Fumbuka ni mwislamu ziku zote , ninajua hivyo saabu tume kua wote OBay , hivyo namjua na kama baba yao alikua Mkristo basi watoto walifuata dini ya mama yao ambayo ni ya Kiislamu na mama yao ni Mzanzibari.
Kwahiyo Fumbuka sio marioo , ni mtoto wa kishua , aliye okea ushuani .
What do you mean by utulivu. Hujui ya kwamba sisi watulivu ndio wachakata mbususu barabara.Hii ndio Taarifa ya sasa mitandaoni , kwamba Msemaji wa Ikulu ya Tanzania , ambaye pia ni Mtangazaji wa zamani wa BBC , Zuhura Yunus , amefunga pingu za maisha na ndugu Fumbuka Nkwabi Mwanakilala .
Namfahamu Fumbuka , maana niliwahi kusoma naye mahali fulani , ni mtu poa sana na ni Mtulivu .
Tunawatakia Wanandoa hawa wapya kila la heri .
Huwajui waislamu ww. Huyu Yunus akibania papuchi anapandishwa cheo anakuwa mke mkubwa.Najua jamaa atakuwa kamforce sana,najua kakubali tu ili jamii isimshangae kuwa kwanini hana mume
Jamaa ategemee kuipata mbususu mara moja kwa mwezi
Hii alias name yako inanikumbusha rafiki yangu Robert Tate, director wa michezo shule ya IST, Masaki kipindi hicho nacheza touch rugby pale.Waislam wakifunga ndoa huwa wanakuwa na mikwara mizito kweli kweli! Ni kawaida kumkuta bwana harusi ameweka kiunoni bisu kubwa aina ya jambia!
Sijui ndiyo wanawaiga ndugu zao Waarabu!!
Na sisi huku Kagera tuna majina ya akina Fumbuka. Kweli majina ya kibantu tunaingiliana.
Sema wabongo ni ma hater kinoma. Unapata aina ya roho za watz kwa kusoma comments.
Miroho mibaya kama mangozi yetu ya kinyaninyani🐒