baada ya Tido kuifufua TV ya Taifa na bado akatumbuliwa niliogopa sana.
Angekuwepo tbc hadi leo nafikiri hizi TV nyingine zingekuwa ICU
Anewei, hakuna fomula ya kufanikiwa hivyo kila mtu anajaribu nafasi inayokuja....
 
Watu huwa hawajifunzi. Yule 'Bwana yule',naye alitoka kule kule kwa 'wenye akili', tena akiwa kwenye nafasi ya juu, akashawishiwa aje home, na kupewa kazi. Akataka kuifanya kazi kwa 'akili ya kizungu', yaani 'haki bin haki'! Kilichompata, wote tunakijua! Akafunguliwa mpaka kesi, ili 'aozee jela'!
 
Spot on!
 
Ifike mahali ujue watu wana priority tofauti. Mtu amekaa nje muda mrefu sana, anataka kuja nyumbani. Asingeondoka kama hakuwa na mpango wa kurudi nyumbani, nyumbani hakukwepeki, either urudi mzima au kwenye jeneza
Hapa USA wengi ni wahamiaji. Nani huwa anarudi kwao kwenye jeneza? Hata Balali hakurudi kwao kwenye jeneza!
 
Inchi ina mambo ya kisnge hii, tunaacha kujadili maendeleo tunajadili maisha ya mafisadi as if ni tamthiria huku maisha yanaenda, muda unakimbia, hali ngumu. Kmmke.
 
Mtu pekee aliyeitendea haki kurugenzi ya habari ni Msigwa, alijua kum-brand boss wake, japo alikuwa chinja chinja
Sasa kama Korea wako wanne, nyie maskini mlio kwenda kuomba msaada mko 30 kuongea na watu wanne kuna maana kweli? Zuhura ange zuiaje ile picha wakati yeye aliona nayo ni story?
 
Kwahiyo naibu katibu mkuu ni wadhifa wa chini kuliko mkurugenzi?
Get jeupe ndio every thing,pale una coordinate kaz na bajet yake is there, siio unapanga kaz bajet sijui unaisubir wap hapana, trip za nje lazima uwemo,za ndan ,mim napendekeza makonda awepo pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…