😂😂😂😂 Ww hamna kitu kichwan!.
Ipo hv
1.Waziri
2.Naibu waziri
3.Katibu mkuu
4.Naibu katibu mkuu
5.Mkurugenzi(Kama alivyokuwa zuhura)
6.Naibu mkurugenzi

Mimi sijui hivi vyeo vinavyo kuwa ila najiuliza tu;
Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu kama alivyo kuwa Zuhura ana ripot kwa nani? Kama wengine wanavyo ita line manager wake alikuwa nani?. Tunajua Naibu Katibu Mkuu, line manager wake ni Katibu mkuu
Tukisha pata majibu ndio tutajua nikipi cheo cha juu
 
Iwe kapanda Cheo au yuko vile vile nyie Chadema inawapunguzia au kuwaongezea nini?

Lisu ana ziara ya wiki Tatu mkoani Singida tuleteeni yanayojiri huko ikiwemo kutiwa mbaroni askofu Wenu Mwanamapinduzi

Mwacheni mdada Zuhura achape Kazi

Jumaa Mubarak 😄😄
 
baada ya Tido kuifufua TV ya Taifa na bado akatumbuliwa niliogopa sana.
Angekuwepo tbc hadi leo nafikiri hizi TV nyingine zingekuwa ICU
Anewei, hakuna fomula ya kufanikiwa hivyo kila mtu anajaribu nafasi inayokuja....
Hapa umenisanua nikiangalia post za TBC kwa this consecutive 2yrs , anayeelewa ni mwenye uzalendo na nchi yake
 
Kupeana kazi kwa upendeleo eti kwa kua anavaa kilemba kama yeye. kwanza huyu kuna wanasema ni raia wa uingereza. Mtu kutangaza BBC ndio eti anakuja anapewa kazi ikulu. Yaani kutangaza BBC ndio Cv mtu apewe kazi ikulu? Ushamba tu mwisho watatuwekea majasusi ikulu kwa ujinga na kupendeleana.
 
Mimi nawaza kama amepewa shavu zaidi!
Kutoka kuwa Mkurugenzi na kuwa Naibu Katibu?
Kama kuna Kosa zito amekuwa amefanya huenda angepelekwa TBC kuendelea na Utangazaji.
 
Yaani Salim kikeke na zuhura yunus hawafai kuwa kwenye serikali ya Tanzania waliichafua sana Tanzania kipindi wako BBC inafikirisha kuwa ikulu.
 
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ni cheo Kikubwa kuliko Mkurugenzi-ki msingi amepanda cheo.
Katibu Mkuu>>Naibu Katibu Mkuu>>>Mkurugenzi>>>>Mkurugenzi Msaidizi.
Acha kukariri,kufanya kazi ikulu sio sawa na wizarani,ikulu pasikie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…