Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,551
- 4,454
Mkuu taratibu Kuna chama kinamtegemea humu JF.Huna kitu kichwan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu taratibu Kuna chama kinamtegemea humu JF.Huna kitu kichwan
Hapo sawa, kila la kheringoja nikagombee ubunge mwakani
asante mkuuHapo sawa, kila la kheri
😂😂😂😂 Ww hamna kitu kichwan!.
Ipo hv
1.Waziri
2.Naibu waziri
3.Katibu mkuu
4.Naibu katibu mkuu
5.Mkurugenzi(Kama alivyokuwa zuhura)
6.Naibu mkurugenzi
Sidhani rimoti haihusiki kuna picha linachezwa na mwenye nyumba moshi unatokea kwa wapangaji.Remote iko Msoga
Hapa umenisanua nikiangalia post za TBC kwa this consecutive 2yrs , anayeelewa ni mwenye uzalendo na nchi yakebaada ya Tido kuifufua TV ya Taifa na bado akatumbuliwa niliogopa sana.
Angekuwepo tbc hadi leo nafikiri hizi TV nyingine zingekuwa ICU
Anewei, hakuna fomula ya kufanikiwa hivyo kila mtu anajaribu nafasi inayokuja....
Kamtoa mwanndani kabisa zuchura! Huo mpango utakuwa hatariSidhani rimoti haihusiki kuna picha linachezwa na mwenye nyumba moshi unatokea kwa wapangaji.
Kupeana kazi kwa upendeleo eti kwa kua anavaa kilemba kama yeye. kwanza huyu kuna wanasema ni raia wa uingereza. Mtu kutangaza BBC ndio eti anakuja anapewa kazi ikulu. Yaani kutangaza BBC ndio Cv mtu apewe kazi ikulu? Ushamba tu mwisho watatuwekea majasusi ikulu kwa ujinga na kupendeleana.Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).
Zuhura atakuwa kamkorofisha wapi mama mpaka katolewa Ikulu? Au ndio anapikwa kuja kuwa Waziri baadaye?
Kuna mtu alidokeza X Zuhura anataka kuondolewa... je, kuna fukuto nyuma yake? Baadhi ya majirani zetu Kenya walimpa za uso Zuhura baada ya details za mkopo wa Korea kuvuja. Je, hii ndio inaweza kuwa sababu?
=====
Pia soma: Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
Zuu ni double agent mkuuM16 ni ya uingereza, labda ungesema TISS
Uko sahihi. Karibu mkuu ndio cheo Cha juu kabisa serkaliniKicheo amepanda sana ,lakini ki exposure na kiulaji ameshuka
Naunga mkono hoja,hafai Bora ameondolewa.
Hii kazi inamfaa mtu ambae anaweza kuvuta attention ya Umma.
Hata waje kina Msigwa 100 Samia hana maajabu.
Rais hatakiwi kuuzwa bali kazi ndio zinatakiwa zimuuze
Acha kukariri,kufanya kazi ikulu sio sawa na wizarani,ikulu pasikie tuNaibu Katibu Mkuu wa Wizara ni cheo Kikubwa kuliko Mkurugenzi-ki msingi amepanda cheo.
Katibu Mkuu>>Naibu Katibu Mkuu>>>Mkurugenzi>>>>Mkurugenzi Msaidizi.
MI6 una maanisha nini Mkuu umeniacha kidogo hapoZuhura ni MI6 nadhani pale ofisini kwa PM kuna spesho mission anaenda kuifanya.
Uwezo kama upi? Yeye sio kazi yake hiyo..Maza ndio anatakiwa avute attention ya umma, tatizo uwezo hana.
Duh wa Wapi na wapi , mambo ya Movie movie hayoZuu ni double agent mkuu
Sasa ofisi ya Waziri mkuu ipo wapi?Povu linakutoka ukiwa wapi Mkuu, kama nimekosea rekebisha.... Kutoka Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu chini ya Waziri Mkuu anakuwa amepanda?