The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Tanzania kila mtu akichaguliwa huwa anadai hakujua. Mpaka Vice President. Kama ni kweli basi huo ni utamaduni mbaya. Lakini kwa yeye kujiuzuru ina maana tayari alishajua. Unless anazungumza watu wa ndani ndiyo waliompigia simu.Sidhani kama nikweli cos tayari alishaaga BBC.......alijua anakoenda bila shaka
Joan Wicken.Nyerere miaka yake yote ya Utawala Personal Secretary wake alikuwa Mdada mrembo wa Kiingereza hadi alipostaafu bado aliendelea nae…
cha kushangaza zaid yule Bibi aliandika kitabu cha Maisha yake na mengi kuhusu uhusiano wake wa 'kikazi' na Kambarage na akaomba kizunduliwe 30 years baada ya kufa kwake…wachambuzi wana bashiri kina mengi sana
Joan Wicken.Ndiye aliyemsaidia kuanzisha chuo cha Kivukoni college. Mama huyo alikuwa ni MJAMAA/Socialist usiseme. Alizunguka nchi nzima akichangisha michango ili apate hela ya mambo ya Elimu. Iwe ni mbuzi, kuku, Ng'ombe ama Bata zote alipewa alisimamia. Tanganyika Education Trust/Foundation
Ni kweli wenzetu duniani wanafanya hivyo, nadhani ni sababu ya ukubwa wao, nguvu na mifumo yao ilivyo imara. Sasa fikiria udogo wetu huu ulivyo ktk nyanja zote halafu mtu yupo Ulaya uanze kusema Fulani anatarajiwa kuteuliwa kuwa ......Wenzetu huko Duniani utaskia Rais anategemewa kumteua Fulani kuwa fulani…hii inasaidia Mhusika kujiandaa kisaikolojia na wakati mwingine watu kutoa taarifa zake muhimu kabla ya Uteuzi
Nimewahi kumsikia Fedrick Sumaye kuwa aliitwa saa 9 kamili jion kwny Makazi ya Rais wakati huo Mpambe wa Rais alikuwa kishaelekea Bungen kwa Mzee Msekwa kupeleka jina
The same to Mzee Pinda anasema akiwa na Rafiki yake Mh.Paul Kimiti wanajadili nani atamrithi Lowassa akashangaa Gari za 'Kaunda suti' zinakuja kumbeba
Tabia hii iliwahi kumgharimu jamaa aliekataa uteuzi wakati wa Mwamba bwana Maendeleo akajikuta kapoteza kazi Tigo
Hayati Mzee wetu yeye alikuja na kali kuliko…anatumbua Jumapili usiku hadi nguo za kazini ushaandaa
Hiyo "h" ya Nini kwenye neno "hasingeweza"?Inawezekana aliahidiwa kuwa kuna uteuzi unatakuja kwake lakini hakujua wapi hasingeweza kuondoka BBC hivi hivi tu bila uhakika wa ajira mpya nzuri zaidi
Umenena vyema.Wenzetu huko Duniani utaskia Rais anategemewa kumteua Fulani kuwa fulani…hii inasaidia Mhusika kujiandaa kisaikolojia na wakati mwingine watu kutoa taarifa zake muhimu kabla ya Uteuzi
Nimewahi kumsikia Fedrick Sumaye kuwa aliitwa saa 9 kamili jion kwny Makazi ya Rais wakati huo Mpambe wa Rais alikuwa kishaelekea Bungen kwa Mzee Msekwa kupeleka jina
The same to Mzee Pinda anasema akiwa na Rafiki yake Mh.Paul Kimiti wanajadili nani atamrithi Lowassa akashangaa Gari za 'Kaunda suti' zinakuja kumbeba
Tabia hii iliwahi kumgharimu jamaa aliekataa uteuzi wakati wa Mwamba bwana Maendeleo akajikuta kapoteza kazi Tigo
Hayati Mzee wetu yeye alikuja na kali kuliko…anatumbua Jumapili usiku hadi nguo za kazini ushaandaa
Ila Kazuri sana. Hivi kana familia kweliShangazi mzuri mzuri amekubali kudhalilishwa na MaCCM kwani ataenda kuanza kuongea uwongo na kueneza propaganda za maji taka🐒🐒🐒
View attachment 2105624
Is she still with us?Nyerere miaka yake yote ya Utawala Personal Secretary wake alikuwa Mdada mrembo wa Kiingereza hadi alipostaafu bado aliendelea nae…
cha kushangaza zaid yule Bibi aliandika kitabu cha Maisha yake na mengi kuhusu uhusiano wake wa 'kikazi' na Kambarage na akaomba kizunduliwe 30 years baada ya kufa kwake…wachambuzi wana bashiri kina mengi sana
Anatuzuga tu huyo; alishapewa ulaji na akaukubali ndiyo maana akaaga BBC. Uzoefu wake kuhusu tasnia ya habari na uvaaji wake wa hijab ni vitu viwili vya muhimu sana vilivyomsaidia kupata nafasi hiyo nyetiSidhani kama nikweli cos tayari alishaaga BBC.......alijua anakoenda bila shaka
Joan Wicken alifariki December 5, 2004 huko London kwa homa ya mapafu.Is she still with us?
Wazee wa fursa😂😂😂mbona siku za nyuma hatujakusikia haya jamani?kazuhura nakatamani kukaoa😋
PS: nje ya mada
Umepoteza kumbukumbu kamanda, SSH alikuwa hana mamlaka ya kuahidi au kutoa kazi 2020 alikuwa ni mshauri tuHuyu mama hasemi ukweli mbona mimi nilisoma mahali tangu December, 2020 wakati ametoa notice ya kuacha kazi BBC walisema amepewa kazi na SSH sasa leo anasema alistukizwa sio kweli
Inawezekana utawala wa JPM ulikuwa na mambo ya kitoto mengi sana.Hapa JK alidanganya waziwazi.
Hana mume wala mtoto, sijui ana shida gani.Ila Kazuri sana. Hivi kana familia kweli
Yaaan😒Shangazi mzuri mzuri amekubali kudhalilishwa na MaCCM kwani ataenda kuanza kuongea uwongo na kueneza propaganda za maji taka🐒🐒🐒
View attachment 2105624