The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Tanzania kila mtu akichaguliwa huwa anadai hakujua. Mpaka Vice President. Kama ni kweli basi huo ni utamaduni mbaya. Lakini kwa yeye kujiuzuru ina maana tayari alishajua. Unless anazungumza watu wa ndani ndiyo waliompigia simu.Sidhani kama nikweli cos tayari alishaaga BBC.......alijua anakoenda bila shaka
Halafu haiwezekani akaondoka kwenye shirika kubwa kama BBC kwa shirt notice. Probably, Alisharesign a month or three months ago.