Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida.
Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024 hivyo niwaombe viongozi kumvumilia Zuhura Yunusu anapokata usingizi akawasha data na kutuma barua ya uteuzi na utenguzi.
Usijiandae sana kwamba dereva aliyekupeleka nyumbani jioni ndiye atakuchukua asubuhi; upo uwezekano Dreva huyo akalazimika kuamka asubuhi kwenda kumchukua msaidizi wako.
Jenga tabia yakuachana na mali za umma baada ya muda wa kazi. Usilale ofisini; hii italisaidia linafsi lako kupokea press usiku wa manane.
Wale wote mnaomfahamu Zuhura Yunus zingatieni kwamba tarehe zilizopo mbele yetu ana kazi yakutoa majalada mezani na kwenda kutekeleza maamuzi.......anzeni na posti hii kijiandaa