Tetesi: Zuhura Yunusu kutetema usiku wa manane

Zuhura ni sayari ya Venus.

Sayari haiwezi kuonekana mchana, ni lazima ionekane usiku 🤣🤣🤣
Daah.
Mkuu umenikumbusha mbali enzi hizo nasoma government school kwa kiswahili jiografia.
Mwalimu wetu anajifanya mjuaji kiingereza, kila title ya mada kwa mbele anaweka kwenye mabano lugha ya kiingereza.
Eg. Mfumo wa Jua (Solar System), Zuhura (Venus).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…