[emoji106][emoji106][emoji106]At least wewe umeongea point. Kuna wapuuzi wao washa'conclude kweli mahindi yana sumu wakisahau ugali wanaokula hawajalima wao hayo mahindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106][emoji106][emoji106]At least wewe umeongea point. Kuna wapuuzi wao washa'conclude kweli mahindi yana sumu wakisahau ugali wanaokula hawajalima wao hayo mahindi.
Unao uhakika kwamba kwenye vikao vyao vya kazi hawajawahi kuzungumzia hilo? Wewe ambacho umeshudia ni katazo la Kenya but huna uhakika wa official correspondences kwani ni vikao vya siri.Biashara za kimataifa hazifanyi kinyama hivyo, huwezi kukurupuka tena kwa nchi unayoitegemea kiuchumi ukata waya kama vile haitakuathiri pia. Walikuwa na muda wa kuongea na balozi au hata serikali. Inawezekanaje wakulima wa Watanzania na Wauganda ghafla washinwe kulinda mazao yao? Kwani wameanza kuuza mazao yao nje leo? Ni muda wa sisi kuvaa mawani ya mbao
Si TBS wapo?Kabla ya kuchukuwa maamuzi haya kwanini mawaziri wa pande zote mbili hawakuitana kuangalia jinsi ya kutatua suala hili au jinsi ya kurekebisha tatizo hili 'JAMAA WAMEFANYA UHUNI MBAYA SANA"kwanza bidhaa zao nyingi hazina uhalisia halisi wa zao husika wakikwambia haya ni maziwa 100% full cream ujue ni 15% na 85% ni unga wa mihogo
Mnamimina Omo simchezoKabla ya kuchukuwa maamuzi haya kwanini mawaziri wa pande zote mbili hawakuitana kuangalia jinsi ya kutatua suala hili au jinsi ya kurekebisha tatizo hili 'JAMAA WAMEFANYA UHUNI MBAYA SANA"kwanza bidhaa zao nyingi hazina uhalisia halisi wa zao husika wakikwambia haya ni maziwa 100% full cream ujue ni 15% na 85% ni unga wa mihogo
Kenya kwa muda sasa wanaagiza mahindi from Mexico, hata DRC nao wanaagiza kutoka huko, wanasema huko bei ni cheaper...Wangeanza na kuondoa sembe yote iliyo madukani na kuwaambia watu wamwage na wasile sembe iliyotoka Tanzania au Uganda. Lakini mpaka muda huu, bado kuna sembe madukani Kenya na majumbani kwa watu iliyotokana na mahindi hayo hayo yanayosemwa yana sumu.
Hiii ni very technical issue, je kuna any report or survey iliyofanywa na wataalamu wetu kuonyesha madhara ya sumu ya mycotoxins ya kwenye mahindi? Kumbuka mahindi yanahifadhiwa kwa zile dawa ambapo hata panya hasogei hapo, kuna any university hapa nchini au wataalam kutoka other research centers waliofanya detail study ya hizi sumu za kuhifadhia mahindi?? Kumbuka pia sumu from mycotoxins huuwa slowly..Acha upuuzi, unga huohuo tunakula watanzania. Nenda Ocean Road kaulize kansa ipi inaongoza na kama ina uhusiano wowote na hizo sumu za Unga.
Mkuu labda wewe ndo hujui na kwa hali hiyo hata uchukui tahadhari,Ila watu wote wenye Akili timamu nchi hii huwezi kuwakuta wakifakamia ugali hasa wa Dona ambao hawajui utayarishiwa wapi? Na ni kutokana na hiyo awareness ndo maana hata TBS iliset standard ya acceptable aflotoxins level kwenye vyakula vyetu vya nafaka na mafutaAt least wewe umeongea point. Kuna wapuuzi wao washa'conclude kweli mahindi yana sumu wakisahau ugali wanaokula hawajalima wao hayo mahindi.
Mkuu siyo matumizi ya madawa bali ni fungus zinazokuwa developed kutokana na wakulima kushindwa kuadhere to Good agricultural practices.kumbuka tatizo hili pia lipo kwenye karanga na mazoa mengine.mfano pale unapotafuna karanga ukakuta inaukakasi au something like imevunda,jua hiyo umetafuna aflatoxins mazeeNimependa hoja yako, pia serikali yetu idhibiti matumizi mabaya ya hayo madawa kwakuwa case za cancer zinaongezeka kwa kasi mwisho wa siku sisi tutapukutika na hao wakenya watakuja kuishi huku
💀jua hiyo umetafuna aflatins mazee