Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo vifaranga vilichomwa ndani ya ardhi ya Kenya au ardhi ya Tanzania? Kenya walishalipwa pesa hao inamana hivyo vifaranga sio mali ya Kenya tena.Mbona Tz ilichoma vifaranga na nyavu za uvuvi za Kenya je haya hayakuwa mambo ya kinyama, je Tz haikuwa na muda wa kuongea na balozi wa Tz/Serikali??
Wakati mlipochoma vifaranga vyao mawaziri hawakuwepo?Kabla ya kuchukuwa maamuzi haya kwanini mawaziri wa pande zote mbili hawakuitana kuangalia jinsi ya kutatua suala hili au jinsi ya kurekebisha tatizo hili 'JAMAA WAMEFANYA UHUNI MBAYA SANA"kwanza bidhaa zao nyingi hazina uhalisia halisi wa zao husika wakikwambia haya ni maziwa 100% full cream ujue ni 15% na 85% ni unga wa mihogo
Tanzania ikizuia all imports from Kenya kutulinda raia wake tusisikie mnamlalamikia Meko na nyie
At least wewe umeongea point. Kuna wapuuzi wao washa'conclude kweli mahindi yana sumu wakisahau ugali wanaokula hawajalima wao hayo mahindi.
kama hii ilikuwa sawa basi na wao Kenya wasilalamikiwe wanapowalinda wananchi wao dhidi ya mahindi ambayo yanasababisha kansa. Tz ibaki na mahindi yake.Hivyo vifaranga vilichomwa ndani ya ardhi ya Kenya au ardhi ya Tanzania? Kenya walishalipwa pesa hao inamana hivyo vifaranga sio mali ya Kenya tena.
Kuna kundi dogo la watanzania wanakuwa wapole sana likija swala la Kenya. Sitaki kuchanganya moja na moja, nitawaachia nyinyi wenyewe.kama hii ilikuwa sawa basi na wao Kenya wasilalamikiwe wanapowalinda wananchi wao dhidi ya mahindi ambayo yanasababisha kansa. Tz ibaki na mahindi yake.
Post yako inahusiana vipi na zuio la mahindi kwenda Kenya?
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya
Hawa watu wataendelea na chuki na serikali ya Nchi hii na sababu ni kuibiwa kwa kura, wanaamini ingekuwa serikali yao haya yasingetokea, na serikali mbili zingeweza ongea kutatua shida hii, na si kama walivyofanya
Ni kweli watu wanataka kulazimisha na wanalialia mahindi yauzwe Kenya kwani wakulima wakiyala wenyewe watapungukiwa na nini au yakiuzwa Tanzania au nchi zingine kwanza huenda hata yakawa ni kinga dhidi ya changamoto za upumuaji, hivyo yaliwe/kuuzwa Tanzania Kenya wasije wakafaidi bure.Kuna kundi dogo la watanzania wanakuwa wapole sana likija swala la Kenya. Sitaki kuchanganya moja na moja, nitawaachia nyinyi wenyewe.
Hatari sana hii sumu inamadhara gani kwa binadamu maana ugali kibongo bongo usipoula mchana utaula jioni hivi tutapona kweliWa Kenya wana hoja ya msingi sana na wamezi umbua mamlaka zetu za viwango yaani TFDA, TBS sijui wizara ya kilimo etc mijitu imekaa maofisi na matumbo yao makubwa badala ya kufanya kazi imekalia kusoma magazeti tuu, wengi tunajua hali ya mahindi ki ukweli zile dawa za kuhifadhia mahindi usalama wake kwa binadamu ni mdogo, hata panya hawali mahindi yaliyo puliziwa hizo ‘ETG’ zenu...
Ngoja utakapougua kansa ya koo au jamaa zako ndio utajua kama ni vita ya kiuchumi au ya kiafyaVitu ya kiuchumi hii hakuna cha sumu hapo...