Zumaridi aiambia Mahakama kuwa Polisi walichukua Tsh. Milioni 19 nyumbani kwake

Zumaridi aiambia Mahakama kuwa Polisi walichukua Tsh. Milioni 19 nyumbani kwake

Kama mtu anaganganya watu kuwa yeye ni Mungu iweje asidanganye kaibiwa pesa?
 
MAHAKAMANI SIO SEHEMU YA KUONGEA KWA HISIA, NI VIELELEZO VINATAKIWA.
KAMA ALIKWENDA BANK NA KUTOA FEDHA AKABAKI NA BANK SLIP, UNAFUU ATAUPATA KWENYE MADAI YAKE.
AKISEMA FEDHA ALIKUWA NAYO NA HANA USHAIDI HAKUNA KITU HAPO. KAMA MUNGU NI SHAIDI YAKE, BASI NAYE ATATAKIWA MAHAKAMANI KUTOA USHAHIDI.

ZAIDI ATALAZIMIKA KUFUNGUA KESI YA MADAI,HUWEZI LETA MADAI KUPUNGUZA MASHTAKA YAKE.
KAMA ALIWEZA KUFUFUA MICHAEL JACKSON, HIZI MILION 19 MBONA NDOGO SANA. 😂
 
Back
Top Bottom