Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini ni siri tena?! Hiyo dini itakuwa ina dhumuni gani?Wako sahihi kabisa. Ni makosa makubwa kutoa mambo ya dini ambayo YAKO secret ( forbidden Knowledge) kuyaweka public. Haifai kabisa. Ni kuwakoroga watu vichwa.
Kwenye dini kuna solid food na soft food,.....soft food ndo kitu pekee ambayo unaweza kuweka public. But hiyo nyingine ni forbidden.Dini ni siri tena?! Hiyo dini itakuwa ina dhumuni gani?
We nae unajikutaga! Kumbe kichwani mweupe kama toilet pepa,Nilimsharau Millard Ayo ,nilimuombea Hadi Ajali, apate Ajali, afe azikwe !!.
Huwez ruhusu Chombo chako kitumike, Kuzikufuru Mamlaka za juu Mbinguni.
Millard Ayo awe Makini, hapo alipo Mungu tu ndio kashikilia Maisha yake na ambavyo keshajichokea !!.
Yaaani wamempa promo kubwa sana, hata akianzisha Zumaridi Betting anatoboa 😂Niseme tu TCRA wamejivunjia heshima kwa kucheza ngoma ya Zumaridi
Siku nyingine usiongee ukweliNao wanakosea hao TCRA.Watanzania wana masumbuko mengi sana. Habari za kipuuzi huwafanya wasahau kuichamba sirikale. Wawe wanatulia tu.
Ntazingatia.Siku nyingine usiongee ukweli
Huo ni ubaguzi mwamposa na zamaladi tofaoti yao nn? Bora zamaladi yuko kama kalukwa na akili falani hivi mwamposa ni mbaya zaidiHii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.
Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi vyetu vitakuwa havina Hofu na Mungu.. Nakuona Mungu kama mshikaji wake tu.
Hongereni sana TCRA Kwa taarifa yenu nzuri Kwa Umma
View attachment 2560940