Zumaridi aviponza Vyombo vya Habari. TCRA yatoa onyo na kuvitaka kusimamia misingi ya utoaji habari

Hawa tcra wamekosa kazi za msingi za kufanya!

Huyo zumaridi anasimulia ndoto yake alivyokuwa anaota kipindi hicho bado mdogo.

Sasa wao wanachukulia serious.
 
mbona manabii namitume wanatoaga shuhuda nyingi zamiujiza lakini hawajawahi toa onyo huyu mama anaonewa wivu
 
Ni jambo zuri. Maana siku zote watu wajinga/wapumbavu kwenye jamii huwa wanjiamini na kupata ushawishi mkubwa kuliko watu werevu.

Sasa watu kama Zumaridi wakiendelea kupata ushawishi, mwishobwa siku tutakuwa na Taifa la watu wajinga kupitiliza.
unachokiona ujinga kwa wenzako niimani kama wewe unavyoamini ulichoaminishwa wapeni watu uhuru wakuabudu wanachokiamini ila wasivunje sheria
 
Tcra wanamwonea wivu Baby Zuma... kiukweli mimi nateketea moyoni jinsi ninavyomtaka Baby Zuma.. huwa nikiona picha au video zake najiona tuko na watoto wetu wawili kwenye fukwe za Miami huko USA tukifurahia kijua cha jioni kinachozama.. kwenye moja ya clip zake niliona kasema alikataa kuolewa na Peter alivyoenda mbinguni nilifurahi maana mission yangu ingeshakuwa impossible.
 
Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.

Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi vyetu vitakuwa havina Hofu na Mungu.. Nakuona Mungu kama mshikaji wake tu.

Hongereni sana TCRA Kwa taarifa yenu nzuri Kwa Umma

Katazeni yooote lakn mniachie clips za Sheikh Kipozeo, mwamba namkubali sana
 
Kuna wanaojiita manabii/wachungaji... mwamposa, geor davie, gwajima anayefufua watu na wengine wengi wenye hadithi za kufikirika lakini wamewaacha sijui wanatumia vigezo gani kumbana Zumaridi kiasi hiki
kuna uwezekano zumaridi nimkweli ndio maana anachukiwa
 
Nilimsharau Millard Ayo ,nilimuombea Hadi Ajali, apate Ajali, afe azikwe !!.

Huwez ruhusu Chombo chako kitumike, Kuzikufuru Mamlaka za juu Mbinguni.

Millard Ayo awe Makini, hapo alipo Mungu tu ndio kashikilia Maisha yake na ambavyo keshajichokea !!.
Chizi kabisa wewe
 
Tanzania Wajinga Ni Wengi Sana
By Godwin Mollel
 
""haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi vyetu vitakuwa havina Hofu na Mungu.. Nakuona Mungu kama mshikaji wake tu.""

JUMA JUMA mbona kama umeleta hisia binafsi.
Kwani kuamini mambo ya Mungu si uamuzi na utashi binafsi?

Wewe binafsi na huyo mtoa katazo, IMANI YENU UNASHIKIKA?

#YNWA
 
Nilimsharau Millard Ayo ,nilimuombea Hadi Ajali, apate Ajali, afe azikwe !!.

Huwez ruhusu Chombo chako kitumike, Kuzikufuru Mamlaka za juu Mbinguni.

Millard Ayo awe Makini, hapo alipo Mungu tu ndio kashikilia Maisha yake na ambavyo keshajichokea !!.
Mbona unalazimisha watu waamini unachoamini?

#YNWA
 
Nilimsharau Millard Ayo ,nilimuombea Hadi Ajali, apate Ajali, afe azikwe !!.

Huwez ruhusu Chombo chako kitumike, Kuzikufuru Mamlaka za juu Mbinguni.

Millard Ayo awe Makini, hapo alipo Mungu tu ndio kashikilia Maisha yake na ambavyo keshajichokea !!.
Huyo milard ayo,sijawahi kumuelewa
Na vihabari vyake

Ova
 
Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.

Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi vyetu vitakuwa havina Hofu na Mungu.. Nakuona Mungu kama mshikaji wake tu.

Hongereni sana TCRA Kwa taarifa yenu nzuri Kwa Umma

View attachment 2560940
Vyombo vya habari vinatoa habari Ambazo watanzania wanapenda kusikia! Sio habari Ambazo zinpaswa kusikiwa!
 
Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.

Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi vyetu vitakuwa havina Hofu na Mungu.. Nakuona Mungu kama mshikaji wake tu.

Hongereni sana TCRA Kwa taarifa yenu nzuri Kwa Umma

View attachment 2560940
Hawa wanataka tuwe na dini moja tu? Maana ukweli wa ukristo ni uongo kwa waislamu na ukweli kwa waislamu ni uongo kwa wakristo nk.
 
Back
Top Bottom