Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Wakijibu hili mniite paka shume🤣🤣🤣🤣TCRA wamejuaje anayoyaongea Zumaridi aka Mr Nice sio ya kweli 😁?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakijibu hili mniite paka shume🤣🤣🤣🤣TCRA wamejuaje anayoyaongea Zumaridi aka Mr Nice sio ya kweli 😁?
Kuna maswali mengi yataibuka, kwani wameachia mengi katika miaka miwili iliyopita.Ni jambo zuri. Maana siku zote watu wajinga/wapumbavu kwenye jamii huwa wanjiamini na kupata ushawishi mkubwa kuliko watu werevu.
Sasa watu kama Zumaridi wakiendelea kupata ushawishi, mwishobwa siku tutakuwa na Taifa la watu wajinga kupitiliza.
Wafia dini wanaweweseka baada ya Zumaridi kuteka soko la trendingNaona jiwe aliwaharibu tcra...sijaona kosa na upotoshaji...huo ndio ukweli wa imani ya zumaridi na hachafui dini ya mtu kwani yeye hana mafungamano na dini yoyote.
Hii sio haki. Tangu lini kusema kitu ambacho wengine hawakubaliani nacho imekuwa ni kosa. Wamisheni wanahubiri kila siku kuwa Yesu ni Mungu na alipaa kwenda mbinguni. Nao watakamatwa kwa sababu waislamu wanaamini kuwa ni uongo?Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.
Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi vyetu vitakuwa havina Hofu na Mungu.. Nakuona Mungu kama mshikaji wake tu.
Hongereni sana TCRA Kwa taarifa yenu nzuri Kwa Umma
View attachment 2560940
Ingekua ni Imani yako imeguswa ungatokwa na povu mwaka mzimaHii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.
Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi vyetu vitakuwa havina Hofu na Mungu.. Nakuona Mungu kama mshikaji wake tu.
Hongereni sana TCRA Kwa taarifa yenu nzuri Kwa Umma
View attachment 2560940
Hatari sana, kila mtu anafikiri Imani yake ndiyo sahihi na anazodoa Imani ya mwingine[emoji38][emoji23][emoji23] Sometimes inabidi nicheke tu!.
Tumeishakuwa taifa la watu wajinga kupitiliza. La kufanya ni kujiuliza kwa nini watu wanawaamini watu wa aina ya Zumaridi ( watu kibao wanadai kufufua watu, kuponya watu kiajabu ajabu n.k.) wakati mtu yeyote mwenye akili timamu anautambua kirahisi uongo wao. Tatizo ni kubwa kuliko Zumaridi.Ni jambo zuri. Maana siku zote watu wajinga/wapumbavu kwenye jamii huwa wanjiamini na kupata ushawishi mkubwa kuliko watu werevu.
Sasa watu kama Zumaridi wakiendelea kupata ushawishi, mwishobwa siku tutakuwa na Taifa la watu wajinga kupitiliza.
Hapo sasa[emoji23][emoji23][emoji23]TCRA wamejuaje anayoyaongea Zumaridi aka Mr Nice sio ya kweli [emoji16]?
WanafeliKwani mkutano wa mwamposa unapokuwa live nani hapo TCRA amehakikisha kinacho zungumzwa pale ndio ukweli? Kuna mtu TCRA amewahi kwenda mbinguni na akatuhakikishia kinacho semwa mikutanoni live ndio ukweli wenyewe?
Swali la msingi kabisa hiliKipindi cha mzee wa upako,mwamposa,kakobe,gwajima,Rwakatare vyote hivyo vilikuwa na vinaendelea kurushwa kupitia vyombo vya habari mbona hatukuona taarifa kutoka tcra
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama dini ni suala binafsi basi iwe marufuku Kwa dini zote kurusha vipindi Kwa TV na redio...
Kama wengine ni Sawa kuzungumza ya mbinguni Kwa imani zao ..why Zumaridi iwe shida?
Ila kina mwamposa na Mzee wa upako kwako ni poa tu tatizo ni zumaridi[emoji23][emoji23][emoji23]Ni jambo zuri. Maana siku zote watu wajinga/wapumbavu kwenye jamii huwa wanjiamini na kupata ushawishi mkubwa kuliko watu werevu.
Sasa watu kama Zumaridi wakiendelea kupata ushawishi, mwishobwa siku tutakuwa na Taifa la watu wajinga kupitiliza.
wanakuwa kama waroma walivompinga mpaka kumuua yesu..Au mungu alivyomuua mtumeTCRA wamejuaje anayoyaongea Zumaridi aka Mr Nice sio ya kweli 😁?
Gwajiboy........Tena wahubiri wengine hua wanadai kua wana uwezo wa kumfufua mtu aliyekwisha kufa.
AnaumwaZumaridi mgonjwa...
ACHA hizo Wewe kama unapenda kusikia za huyo mwamposa ni haki yako hakuna anayekuzuia, sasa hata wanaopenda kusikia za Zumaridi ni haki yao why wazuiwe? Au Kwa kua huzipendi za Zumaridi?Wewe ni kenge! Mambo ya Mwamposa achana nayo! Mbona tunapona Sana!
Wapo wengine, wanatoka Tibeli 😌Japo simkubali huyu zumaridi namwona yeye na waumini wake ni vichaa ila naona wanamuonea. Kama ni marufuku wapige marufuku wote.
Wanamuonea na hoja zao mara hatumii bible kwani nani kawaambia yeye anahubiri ukristo labda kaanzisha dhehebu lake la kizumaridi