Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sahihi kabisa, uhuru wa habari na kujieleza usiwe kwa yale tu wengi wanayopenda kusikia bali hata kwa yale tusiyoyapenda.
Japo simkubali huyu zumaridi namwona yeye na waumini wake ni vichaa ila naona wanamuonea. Kama ni marufuku wapige marufuku wote.
Wanamuonea na hoja zao mara hatumii bible kwani nani kawaambia yeye anahubiri ukristo labda kaanzisha dhehebu lake la kizumaridi