mbari sa menya
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,002
- 1,891
Wanamwonea, kama hawataki, wafanye kama Rwanda kwa Kageme,Sahihi kabisa, uhuru wa habari na kujieleza usiwe kwa yale tu wengi wanayopenda kusikia bali hata kwa yale tusiyoyapenda.
Hakuna kujiita nabii au askofu na mchungaji, kama hujapitia elimu stahiki ya dini,
Pia uanzishwaji wa makanisa na madhehebu upitiwe upya,
Siku hizi kuna makanisa yameanzishwa na Wanaigeria ndio Mapaster,
Hapa Mbezi kwa Zena yapo mawili ya Wanaigeria,
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app