stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Melembe Wana taarifa zake?CHIZI ZUMARIDI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Melembe Wana taarifa zake?CHIZI ZUMARIDI
Embu tuambie wewe mbinguni papoje?Nilimsharau Millard Ayo ,nilimuombea Hadi Ajali, apate Ajali, afe azikwe !!.
Huwez ruhusu Chombo chako kitumike, Kuzikufuru Mamlaka za juu Mbinguni.
Millard Ayo awe Makini, hapo alipo Mungu tu ndio kashikilia Maisha yake na ambavyo keshajichokea !!.
Tatizo watu wanataka kusikia wanayoyapenda tuUandishi wa habari hauna mipaka wanatakiwa kutuhabarisha habari yoyote ile. Ni kazi yao...
Kama kuna sheria yoyote imevunja iwekwe wazi
Kukuru Kwa mujibu wa Sheria ipi ya nchi hii? Ngoja siku Imani yako inapigwa ban ndio utajua maana ya uhuru wa imaniHeri nusu shali kuliko Shari Zima.
Hao wengine ni Mungu anajua ila kufuru kama ya Zumaridi lazima ipingwe .
Pesa za laana Kwa mujibu wa Sheria ipi ya nchi hii? Au mnafikiri Tanzania ni nchi ya kidini?Mwambie Millard Ayo na timu yake aache kukurupuka kuhangaika kutafuta content ambazo hazina maana kwenye kwasababu ya kutafuta hela za laana... pesa za aibu zinafedhehesha...
Yaani abaki chini ya uangalizi kafanya kisa Gani?Kuna maswali mengi yataibuka, kwani wameachia mengi katika miaka miwili iliyopita.
Hata hivyo ndio athari za "uhuru" wa Habari.
Tunalishwa tu na watu wanarudia kikasuku.
Zumaridi alitakiwa abaki katika uangalizi wa 'mental institute'
Hatahivyo, Kuna uwalakini na TCRA
Kama ni hivyo Imani zote zipigwe marufuku la sivyo ni kumuonea tu huyo mama maana hata Imani yako wewe Kuna wanaoona ni ya kijinga kama wewe unavyoona za wenzako ni za kiwenda wazimuZuma nikichaa apigwe marufuku kuhudumia watu kabla hajazuiwa mitandaoni maana nimpotoshaji asiyefaa!!
MakNisa Tanzania yatengenezewe chombo cha kuregulate huduma zao.
Arusha jodefi anaagiza waumini hela tena kuwawekea kiasi hiyo ni biashara sio sadaka inabidi atozwe kodi.
Mwampoo anauza maji, mafuta, majarida tafadhali alipe kodi maana hiyo ni biashara kama mchuuzi mwingine!!
Pamoja na wengi wengine wanaojitajirisha kupitia dini wao hawatoi sadaka wanaagiza walipwe ndio wamuombee mtu tungependa watuchangie kodi
Nani, Watibeli au Wazamuradi?Yaani abaki chini ya uangalizi kafanya kisa Gani?
Mambo ya kiimani tuyaache kama yalivyoTumeishakuwa taifa la watu wajinga kupitiliza. La kufanya ni kujiuliza kwa nini watu wanawaamini watu wa aina ya Zumaridi ( watu kibao wanadai kufufua watu, kuponya watu kiajabu ajabu n.k.) wakati mtu yeyote mwenye akili timamu anautambua kirahisi uongo wao. Tatizo ni kubwa kuliko Zumaridi.
Amandla...
Chizi Kwa kuwa anaongea msiyopenda kuyasikia au?Na yule bwamdogo a.k.a kijana asiyetaka kuoa na yeye aonywe.
!...
Haiwezekani amuite huyo CHIZI wahojiane na wakati mtu anaonekana kabisa ana hitilafu na uwalakini kichwani. Aonywe! Ikiwezekana astopishiwe huduma kama wiki hivi akili na nidhamu vimkae sawa.
Namzungumzia "Mr. Countdown" aliyempa airtime yule CHIZI ZUMARIDI.
Serkali kuingilia mambo ya ZumAridi ni makosa na inatakiwa ijue kuwa serkali haina dini. Zumaridi anahubiri yanayofuatwa na waumini wake. Hao waumini wanaamini na wana imani na uhalisia wa mahubiri ya Zumaridi, kama Wakristu au Waislamu walivyo na imani ya mahubiri ya wahubiri wao.Simkubali Zumarid lakini serikali kuingilia sio sawa. Mambo ya imani na mbiguni ni mambo ya kufikirika. Sio tangible
kUKASIRIKA KWAKO NI ISHARA KUWA MWAMPOSA HANA UWEZO HUO. KWA NINI UKASIRIKE?Wewe ni kenge! Mambo ya Mwamposa achana nayo! Mbona tunapona Sana!
Na ya Mwamposa je! Mbona aliitwa bungeni sijui kufanya nini huku wakijuwa kila siku anadanganya juu ya uponyaji wake. Je, Mwamposa anaweza kutoa ushahidi wowote wa alieyemponya?Heri nusu shali kuliko Shari Zima.
Hao wengine ni Mungu anajua ila kufuru kama ya Zumaridi lazima ipingwe .
TCRA wapo sahihi na tena wamechelewa.TCRA wamekuwa influenced ?
Kila mtu anajua Yule Zumaridi mgonjwa...
Wao wanaamini zile memes?
Wanatishika na memes??
Kama Chizi Mwamposa anapewa "airtime" kwa nini Chizi Zumaridi asipewe airtime"? Wote hao machizi tu. Pia machizi wa dini nyingine za kikristu na kiislaamu hupewa airitime, kwa nini chizi Zumaridi anyimwe?Na yule bwamdogo a.k.a kijana asiyetaka kuoa na yeye aonywe.
!...
Haiwezekani amuite huyo CHIZI wahojiane na wakati mtu anaonekana kabisa ana hitilafu na uwalakini kichwani. Aonywe! Ikiwezekana astopishiwe huduma kama wiki hivi akili na nidhamu vimkae sawa.
Namzungumzia "Mr. Countdown" aliyempa airtime yule CHIZI ZUMARIDI.
Nakubaliana na wewe. Kama mtu anaamini kuwa Zumaridi ni Mungu kwa nini tumsumbue? Ana tofauti gani na wale wanaoamini jua ni Mungu au Ng'ombe anastahili kuabudiwa.Mambo ya kiimani tuyaache kama yalivyo
Mfano wakristo wanaamini kuwa Yesu ni Mungu na alisulubishwa msalabani, Kwa hiyo wazuiwe au wakamatwe Kwa kuwa waislamu hawaamini hivyo? Kila mtu aamini anachoamini, maana mjuzi wa yote ni Mungu