Zungu: Kuna Kundi la Utoro Bungeni, Waliokwenda Morocco bila Kibali wachukuliwe hatua

Hapo P sina baya na wewe.Japo kunawakati unaungana na watesi wataifa hili,sijui ni ile hofu ya press card,ama hofu mpya ya Ithibatii?
Bahati mbaya sana ile siku mimi nazaliwa, ilikuwa ni Jumapili ya sikuu ya pasaka, wakazaliwa watoto wengi sana kwenye mkesha, hivyo kufikia zamu yangu tukakuta mgao wa uoga ameisha, hivyo nikaruhusiwa kuendelea kuishi bila uoga, na kuna wakati kwenye zile heka heka za ujana, nilikuwa napita maeneo ya hatari sana bila uoga, mara kibao nimekanya zile nyaya za high voltage za umeme wa grind ya taifa nikiwa peku peku na sinaswi na umeme!.
P
 
Taifa halihitaji tena chawa wala watu waongo,wezi,mafisadi bali nimuda wakutumia kila tulichonacho ili kisaidie hili taifa naona mwendo wetu wa sasa ni wakutumbukia shimoni tena shimo refu,hivyo ni muda wa ujasiri na sii woga wa kuongea ukweli japo wengi wameshafika mahali pakutotaka kuusikia ukweli.
 
Haya mashombe shombe ya kitanzania yenye asili ya kiarabu au kihindi sijawahi kuyaamini kabisa.... Kuna lingine nimelisikia jana linasema "Huyu YUDA ni msaliti.... "
 
Ila pia tumpongeze Spika Zungu, baada ya kuwa Spika, amekuwa ni mtu muungwana sana, wakati akiwa Naibu Spika alikuwa mbabe sana, Vicky Kamata Anastahili Pongezi! Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!

Sijui kwanini manaibu Spika wanakuwaga wababe sana?.
Angalia enzi za Anna akiwa Naibu Naibu Spika Anna Makinda ni Dikteta!

Angalia na hii Vurugu za jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!- Ni Dikteta Hatari Kuliko Spika Anne Makinda!.
P
 
Huu upuuzi wa kulifanya bunge kibogoyo ulianzia kwa Magufuli, na sasa bunge limekuwa takataka jumla. Haya ni matokeo ya siasa za kishenzi za magu kuharibu bunge la kidemokrasia .
Jikite kwenye hoja ya wabunge kutoroka kwenda nje kula bata
 
Mtu ubunge kapata bure , kwa nini asile bure , mie nawapongeza
 
Mtu ubunge kapata bure , kwa nini asile bure , mie nawapongeza
 
Bunge ni kikundi cha wapiga dili waliojikusanya pamoja ili kujipatia kipato kikubwa bila ya kufanya kazi
 
Bunge lililo jisimika lenyewe kwa gharama ya damu za watanganyika
Their all fulls
Unatumbukiza kura kwenye box halafu unajiita muheshimiwa.
Unatofauti Gani nawanafunzi aliyeina mitihani na kupata div one?
Ni unyani
 
Hapo P sina baya na wewe.Japo kunawakati unaungana na watesi wataifa hili,sijui ni ile hofu ya press card,ama hofu mpya ya Ithibatii?
Haka Kasukuma kajinga, kanauma na kupuliza! Mara katuunge mkono mara kashirikiane na watesi wetu kutusema vibaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…