Elimu: >> source pdf page 90 <<
Degree ya udaktari, MD- Doctor of Medicine- UDSM
Masters ya udaktari, MMed - Masters of Medicine - UDSM
Masters ya jeshini, MSS - Master in Security and...
Thabit Abdul amefunguka kuwa ana mpango wa kuipeleka taarabu kanisani kwa kuimba kwaya yenye mahadhi ya taarabu
Thabit amedai kuwa waimba kwaya wengi wenye majina makubwa nchini wamemfuata ili...
Nachelea kusema huyu Dada ni kati ya presenter Bora .... Bora saanaa kuwahi kutokea hapa karibuni.
Anatishaaa... Hakika Pengo la Fetty limezibika vilivyo.
Aliye na picha ya mtoto huyu mrembo...
Bondia bora wa muda wote katika madaraja yote ya ngumi (Pound for pound),Floyd Mayweather aliwahi kusema "If it makes dollars it makes sense" kauli hii aliitoa baada ya watu kumshutumu kwamba...
Msanii nguli wa muziki wa injili Bahati Bukuku amefunguka kuhusu safari yake ya kimuziki toka alipotoka mkoani mbeya na kuja Dar Es Salaam.
Bahati Bukuku anaeleza kuwa aliondoka mkoani mbeya kuja...
Baada ya siku nyingi kupita tangu Shilole na Barnaba watemane, imebainika kuwepo kwa siri kubwa zilisababisha wawili hao watemane.
Chanzo cha karibu na Barnaba kimedai...
Miongoni mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na...
Katika pita pita zangu huko mitamdao mingine nimeona DC wa wilaya fulani amembeba mtoto inaonyesha tayari kajifungua ni wake.kama tunavyojua jf ina wataalam/wajuaji wa kila kitu habari za...
Na Andrew Chale(MNGONI ORG)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambaye kwa sasa amekuwa akizidi idadi kubwa ya mashabiki amekuwa ndo msanii anayezungumziwa kila...
Kulikua kuna haja gani ya yeye kuwajibu mameneja Wa WCB? Kwamba kosa ni yeye kuwekwa No. za mbali katika zile Top ten za wale Mameneja?
Ile ni mitazamo binafsi ya watu, kulikua na haja gani...
Mwanamuziki Joseph "Jo Mersa" Marley, ambaye ni mjukuu wa Mwimbaji Mkongwe wa Reggae Hayati Bob Marley amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 31, vyombo vya habari vya Marekani viliripoti...
Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same...
Mwijaku amedai ni aibu kubwa kwa msanii mkubwa Kama Nandy na mumewe kuendelea kusaidiwa kutunziwa Mtoto na msanii mwenzake Diamond.
Mwijaku amemtaka Nandy akamshukuru ndg Diamond kwa kipindi...
Inafkirisha na kushangaza Sana, tumeshuhudia mara nyingi Clouds FM, Efm na wengineo wengi mpak waandaaji wa tuzo za mziki tz wakiweka rank zao za wasanii Bora kuanzia top 10, top 20 etc.
Watu...
Kwa picha na ujumbe huu kutoka kwa kiongozi mkubwa wa serikali, hakika bado tuna safari ndefu.
Mwingine alipost amebeba gunia begani. Je, ina maanisha nini? Kwamba hatuna nyenzo za kurahisisha...
Huyu mwanamama RestutaBura ni mpambanaji kwelikweli, pamoja na mambo mengine yanayomkuta bado anasimama kama mmoja wa wanawake hodari na watafutaji kila wapoona fursa. Rest anafanya biashara ya...
Awa watu wanafanana kwa 100% unaweza kusema P-Didy kazaliwa upya barani Africa namna Diamond Platnumz anavyofata vema nyayo zake. Licha ya kwamba wote ni wasanii wenye mafanikio makubwa duniani...