Ndugu wa marehemu masogange wanasema hadi dikika hii hawajapata hata mia ya pesa za rambirambi zilizochangwa na wasanii wa Bongo muvi na Bongo fleva,licha ya kuwepo kwa uhakika wa kwamba pesa hizo...
Moja kati ya Matukio yaliyogusa hisia za watu wengi nchini marekani na duniani kote basi ni performance aliyoifanya mwanadada Nightbirde (Jane Marczewski)
Mwanadada Jane Marczewski anayeenda kwa...
BURUDANI Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize.
Hapo jana Msanii Pasha Mtepa akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV alisema watu wanamkosea heshima kumshindanisha...
BURUDANI 'Sisi ni maarufu OG sio wa IG" - Ferooz
Hapo jana Hitmaker wa ngoma ya starehe Ferooz akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV amewachana wasanii wa sasa wasiosapoti...
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa vichekesho vya mchekeshaji namba moja kwa sasa (Mkojani) utagundua flow yake ya utoaji wa kazi imeshuka mno.
Mkojani alikua anatoa muvi moja au mbili ndani ya...
Habari za wakati huu wana jamvi!!! Ni siku tulivu kabisa ya mapumziko!! Leo nilikua nasikiliza kibao nnachokipenda zaidi kutoka kwa Mwanamuziki nnayemkubali sana katika Bara hili. Binafsi kibao...
Jamaa ameandika stori yake ya ndoa kuhusu kuachana na mke wake amemkandia kwamba mke wake ndo chanzo cha kuvunjika ndoa na mambo mengi tu
Sema sasa sijaelewa kabisa chanzo cha hiyo ndoa...
Msanii wa Bongofleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema kila mwezi huingiza Sh200 milioni kutokana na kuingia mikataba na kampuni mbalimbali kuwa balozi wa bidhaa zao.
Akizungumza...
ENDELEA KUPUMZIKA KWA AMANI COWBAMA.
Na Xavi Hernandez Alcantara
Wao walipewa wakina Tupac Shakur,Notorious,Eminem lakini sisi tulipewa wewe wao waliongezewa wakina Jay Z,T.I na wengine wengi...
Baada ya Mtangazaji mwenye ushawishi wa kituo cha Times FM Ommary Rajabu Saleh Tambwe aka Lil Ommy kuaga rasmi kuwa hatoendelea kuwa mfanyakazi wa kituo hikch alichokifanyia kazi kwa muda mrefu...
Au mnasemaje wadau?
====
9 Sep 2020
Bondia namba mbili kwa ubora Tanzania Twaha Kiduku amesisitiza kuhitaji pambano na Hassan Mwakinyo ili afahamike nani bingwa wa nchi.
Kauli hii aliitoa...
Malkia ana train yake, inakuwa na mabehewa mpaka tisa kutokana na umuhimu wa safari yake na idadi ya wasafiri. Train hii humuwezeshs yeye pamoja na familia yake hata wageni wake kusafiri kwa...
Sijui kama thread kama hii ilishawai anzishwa hapa j.f,
but i am curious to know who is s.s.bakhresa.
Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business...
Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?
Zuchu yuko overpriced
Mauzo ya Ticket
From Diamond Platnumz bingwa wa promotion...
Kama ni utunzi wa hadithi, namkumbuka sana Edie Ganzel. Sina uhakika kama ana uhusiano na Stanley Ganzel wa TBC ila hadithi yake ya “SIKUWA FUKARA” naikumbuka sana. Nikiona wanavyotahabika...
Msanii Kanye West kupitia mtandao wake wa Instagram amepost picha ya nyumba yao ya zamani alikuwa akiishi pindi akiwa mdogo
Na tukumbushane tu kuwa nyumba hii ndio ile ambayo aliinunua mwaka jana...
Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini.
=====
Bill and...
Hatimaye yaliyosemwa kuhusu wapi anaelekea mtangazaji wa Times FM yametimia. Muda huu Lil Ommy ametambulishwa katika redio changa Wasafi FM
Sent using Jamii Forums mobile app