Habari Wana bodi,
Maisha ni watu na bila watu hakuna maisha,lazima watu waongelewe,wajadiliwe ndiyo maisha yenyewe. Ukiwa Famous, super star,n.k lazima utajadiliwa lakini Kuna watu humu utasikia...
Tuwe wakweli nilidhania kuwa Alikiba amejifunza kitu kutoka kwa Mwalimu wake Diamond Platinumz kuhusu on how to sing international collabo ila cha ajabu ametutia aibu tu.
Jelaous ya Alikiba...
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu.
Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile...
Tokea hawa waimbaji mashuhuri wa mnanda wafariki hakika mnanda nao umeenda zake ,ladha na utamu wa mnanda umepotea ..Wameondoka mapema Sana ikiwa fani bado inawahitaji.
1.Juma Mpogo lupozi "seven...
Uhali gani mwana JF?
Binafsi nimetokea kumjua Marioo tangu 2017 alipotoa wimbo wake wa Bure. Nikawa shabiki wake ila japo hakuanza kuimba rasmi ila alikuwa akitungia watu tu nilitamani atoe...
Chris brown and others are mourning the loss of their tattoo artist, Trigz Lokz .
Michael Christopher Pebley was shot and killed on Thursday afternoon, In Touch reports.
He was gunned down as a...
Msanii wa filamu tanzania (BONGO MOVIE), Munalove rafiki wa zamani wa wemasepetu, amesema kuwa anaumia sana kuwa na tattoo mwilini mwake zimekuwa maumivu makubwa sana na kupelekea kutokuelewana...
Naona watu wanajiuliza hivi kati ya hawa wawili rayvan na harmonize nani yupo juu kimafanikio au kwamana ya utajiri?
Coz namuona mwijaku leo kwenye radio kataja wasanii wanamuziki ambao ni...
Inakuwaje wanaJF!
Kuwa Dollar Millionaire siyo mchezo naweza sema ni bahati ndio maana ni wachache sana. Wee fikiria nchi yenye watu million 60 halafu kati ya hao ni 450 ndio dollars...
Kwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu...
Huyu mdada anaitwa Tina Rogat Yuko insta almaarufu 'Umelala Yoooo' yani nampenda mno mpaka naumwa Ana macho mazuri mnoooo halafu Ana sura flani ya aibu ya kike naomba muuskrinshot ujumbe huu...
Mmakonde kaamua kumkata matumaini kabisa
Binafsi nashangaa kuona hii ni video ya pili mfululizo ya kiba haijafika kilele cha trending, Nahisi ni sababu Ali kiba kaanza kulipia matangazo ya...
Joyce wowo Jana alijua kuturusha roho wanazengo, mxiee ila Kati ya Kiki zote zilizoboa hii Joyce wowo umebugi, Kiki ya kishamba, Event yenyewe haijabamba kihivyo . Yani uwoya sio siri Mungu...
Hivi majuzi nilisikiliza interview ya Sallam SK kupitia kipindi cha The Switch cha Wasafi FM nikajifunza jambo -- kuwa kumbe si kila msanii yupo tayari kunyakua kila dili linalowekwa mezani, no...
Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi chama kiendelee. Kabla baadhi yenu hamjaanza kunisumbua kutaka nitoe maoni yangu kuhusu kushindwa kwa komredi Simba kwenye tuzo za BET, nimeona...
Jana nmeona rayvanny akifanya interview kwenye kipindi cha salama eatv nkashindwa kuelewa imekuwaje WCB na EATV wapi na wapi sikuwa na muda wa kufuatilia ila nilibaki na maswali
Diamond anataka kuwapa ujumbe ‘haters’ wa uhusiano wake na mama wa mtoto wake, Tiffah, Zari the Bosslady, kuwa hata wafanye vipi, hawataweza kuwakosanisha.
Hilo linaweza kuwa ni jibu la kwanza...
Roma MKATOLIKI ametanganza Nia ya kucha muziki soon.
Kwanza kabisa ameeleza wimbo wake wa kwanza ilitoka 2007 na sasa anatoa wimbo wa mwisho, hivyo ametoa shukrani kwa wale wote walio support kazi...
Sio rahs Kwa Rayvanny kupitia njia aliyoipitia Diamond , kuna watu kuwa kwenye mahusiano na kuacha kwao sio tatizo , Ila kuna wengine sio kaz rahisi, kuna wengine ukishamhaidi binti utakuwa...