Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwishoni mwa mwaka 2012 mwimbaji maarufu wa muziki wa dansi hapa Tz maarufu kama Banza Stone alisikika katika kipindi maarufu kinachorushwa na mtangazaji makini Millard Ayo kupitia clouds fm...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Vile vikombe vilivyokuwa vinaibuka kila uchao siku hizi havisikiki tena,Si kwa babu,Tabora,Mbeya wala wapi sijui au ndo tunapisha bunge kwanza ndo viendelee?Au huduma imesitishwa?Mlioko kwenye...
0 Reactions
94 Replies
13K Views
Baada ya seven, Kiba atimua meneja wake mwingine ====== ALIKIBA ATHIBITISHA KUMTIMUA KAZI MENEJA WAKE WA KIKE, ATOA SABABU HIZI ‘Ni kweli sifanyi nae kazi tena. Ni taratibu za kazi, amekuwa na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Yaani siku hizi ukiangalia nyimbo nyingi za harmonize hakuna kipya utakachokiona zaida ya mtu anaimba huku amezungukwa na wanawake. Halafu yupo kifua wazi hakuna ubunifu wa mavazi, style...
7 Reactions
56 Replies
8K Views
Mambo 10 usiyoyajua kumhusu Bruce Lee Wapenzi wengi wa filamu wanamtambua na kumuenzi sana marehemu mwigizaji Bruce Lee kutokana na weledi wake kwenye filamu na sanaa ya Kung Fu zilizowazingua...
7 Reactions
20 Replies
6K Views
Msibani Morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani, kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile...
20 Reactions
140 Replies
16K Views
Kuna video inatembea ikomuonesha Steve Nyerere akijinadi kufika ofisi ile kuchukua fomu ya Ubunge. Hivi hakumuelewa Dkt. Bashiru aliposema ni kuulizia tu utaratibu wa kugombea na kutangaza nia...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi naanza na Wolper na Irene uwoya pia Lulu na Diana Kimario hawa watu wanapendeza sana wakiigiza pamoja movie inakuwa tamu sana wanavutia pia katika uigizaji kimavazi hadi uongeaji, kabla...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wimbo huo unaelezea ubabaishaji na usanii unaoendelea kwenye industry ya mziki na siasa,Nash amekuwa ni msanii pekee wa hiphop mwenye itikadi kali na kusimamia misingi kwa muda mre fu sana, bila...
3 Reactions
92 Replies
11K Views
I know of the year 2002 when the six kids were born to the family of Chris and the black couple Diamond Harris in Birmingham, USA? Do you still remember? Okay, the children's ups are now very...
2 Reactions
4 Replies
892 Views
Hivi mnavyotafuta Sifa na Umaarufu Mitandaoni hasa kwa Kujimwambafai katika Kurasa zenu za Mitandao kuwa Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo aliwaomba mumlelee Watoto zake ( wake ) mnataka...
15 Reactions
93 Replies
17K Views
Baada ya kelele nyingi za mashabiki wa msanii Vanessa Mdee (V Money) kwa nini amekaa kimya kwa muda mrefu hatimaye atangaza kuachana na tasnia ya muziki akitoa sababu zifuatazo. Akizungumza...
36 Reactions
174 Replies
29K Views
Ni vijana wengi sana wanapenda kuwa wasanii, binafsi kwa huu mtaa wangu wenyevnyumba nane kuna wasanii wanne ila hawajafika popote na umri umeshaenda, labda pengine ni kwasababu hawakupata elimu...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Jamani msijisahaulishe, hivi mmesahau tukio la harmonize kugoma kushikana mikono na Ali Kiba? Sasa leo Bosi Sallam amegoma kushikana mikono na harmonize imekuwa nongwa Yeye mwenyewe ameshawahi...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Wiki nyingine, namba 1 ni yuleyule . Tanzania Most Streamed Artist officialikiba Tanzania Most Streamed Song #SoHot Dodo ndio ngoma ya Bongo Flava inayosikilizwa zaidi on boomplaymusic_tz Dodo...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari za hivi punde ni kuwa mwanadada Diva ( DivaDaily ) amesimamishwa kazi Clouds Media kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni “utovu wa nidhamu” ==============
12 Reactions
195 Replies
41K Views
Yule Dj anayekufanya uupende mzk kashakabidhiwa ofisi hukooo.. na jamaa amerudi na vibe yan paka anakeraaa.. Times Fm. Kpnd Zege. Mda n mchana..
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Ugonjwa wenyewe unajulikana Upungufu wa Kinga ndani ya Mwili wa Binadamu na Mpiga Kura halisi wa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2020 Tanzania.
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…