Sisi wananchi wa hali ya chini tulifarijika sana na maneno yako pale ulipotangaza kuwa, upo tayari kutusaidia japo kulipia pango la nyumba kwa miezi mitatu kwa wananchi wa hali ya chini 500...
Habarini!
Nampenda huyu Mama ana moyo mwema sana ni mkarimu, anamoyo wa kujali vile vile ni mchangamfu hata kwa mtu asiye mfahamu.
Katika sanaa ya Tanzania kainua vipaji vingi sana sote tunajua...
Habari zilitofikia muda si mrefu mheshimiwa
zuma amechaguliwa kuwania uraisi kwa mwaka
2009 nchni africa ya kusini,,mheshimiwa ZUMA
Amechaguliwa na Halmashauri ya ANC,.........
kwa habari...
Baada ya kutukanwa matusi ya nguoni kwenye mitandao ya kijamii na blogs, kwa mara ya kwanza staa wa sinema za Kibongo Jacqueline Wolper Massawe, amefunguka na kudai kwamba amechoka kutukanwa kila...
Wanajamvi sijui km nimetua ukumbi husika, km sio mtanisahihisha.
Napenda kujua hawa ndg zetu waliwahi kuvuma sana enzi zao katika sanaa.
Power Mabula alikuwa na nguvu za ajabu kuuia au kuvuta...
By Sangu Joseph
.
Duuh kwanza nianze kwa kushangaa, kama ambavyo wengi tulishangazwa kuona taarifa ya kutua kwa BDozen, #DozenAmetua kwa Waswahili @efmtanzania na @tvetanzania hii taarifa kubwa...
We present you the list of the most influential artistes in Africa as of 2019, by influence we mean the impact these artistes have had in people’s lives, the music industry and more continental...
Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John...
SIMBA KAMA LION, ALMASI KAMA DIAMOND, HAKIKA MAJINA HAYA ANAYATENDEA HAKI KWA VITENDO ZAIDI
NI ZAIDI YA WIKI SASA VIDEO YA QARANTINE BADO IMETULIA KILELENI KWENYE VIDEO ZINAZOTREND YOUTUBE BILA...
Tuzo kubwa za muziki nchini Uganda , Hipipo Music Awards (Hall of Fame) , zimefanyika siku ya Jana huko Kampala na Kushuhudia wasanii tokea Lebo ya WCB , Diamond Platnumz pamoja na Mbosso...
Ni mtangazaji ambaye alianza kwa " kusuasua " huku akionekana kukosa self esteem hasa akiwa anatangaza katika tv lakini sasa huyu Mtangazaji wa Kike wa ITV / Radio One Farhia Middle amekuwa...
Mwanaume kamili haogopi vita , tuna slogan yetu , get rich or die trying , mara nying sasa kumekuwa na hali ya kumshindanisha Harmonize na Nguli wa bongo Fleva Diamond Platnumz , na hii...
Aisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bunge
Gari zote za heshima nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata
Wakati tukisubiri kwa hamu mpambano wa kukata na shoka kati ya Deontay Wilder na Tyson Furry utakaofanyika February 22 katika ukumbi Wa MGM Grand Arena, tutazame rekodi zilizowekwa na mabondia...
Did you know?
South African President, Cyril Ramaphosa became interested in ankole cattle after visiting Uganda in 2004. Top Billing also confirmed it
He is the first person to bring them to...
Habari za saa hizi wakuu ? Natumai mko fresh ki afya hasa ukizingalita hili kiki la dunia linavyo tupandisha pressure.
Acha nidondokee moja kwa moja, wakuu hivi hawa vijana wali fail wapi? Maana...
Hii ina include waigizaji filamu wakubwa maarufu na wanamuziki wenye utajiri na umaarufu mkubwa
Nasikia Wanapewa masharti magumu ya kichawi, ili waweze kupata na ku-maintain utajiri na umaarufu...
Ameandika Janet Otieno muimbaji nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya:
Wapendwa wanaume,
Muda mwingine Mimi hujiuliza mnatoa wapi hizi nguvu. Kwa miezi unakaa bila hata kujinunulia mwenyewe nguo...
Natumaini kwa namna moja au nyingine utakuwa umehudhuria sherehe/hafla katika jiji la Dar es Salaam, je ni ma-MC gani uchwara uliowahi kukutana nao shereheni na wakafanya sherehe kuwa mbaya...
JUN042013
Hivi ndivyo jinsi Albert Mangwair alivyopokelewa kwenye uwanja wa Dar-Es-Salaam International Airport.
T.I.D ni mmoja wa wasanii aliyebeba jeneza la Albert Mangwair pale...