MWANAMUZIKI maarufu duniani, Mwingereza, Edward Christopher Sheeran, maarufu kama Ed Sheeran ametangaza kuwa atapumzika kazi hiyo baada ya kuifanya kwa muda mrefu.
Ametoa kauli hiyo alipokuwa...
Ni siku chache zijazo, tutaanza kuzisikiliza nyimbo za Harmonize bila kibwagizo cha ‘Wasafi Records’ na ‘Eyo Laiza’. Mwanamuziki huyo, ambaye jina lake halisi ni Rajab Abdul Kahali ameandika barua...
Habari zinasambaa mtandaoni kuwa Mzee Ibrahim Kaduma amefsriki huko India alikokwenda kwa matibabu.
Mzee Kaduma alikuwa a staunch supporter wa Mwalimu Nyerere.
Mimi nimemfahamu alipokuwa Vice...
GEORGE WEAH MWANASOKA BORA WA DUNIA,ULAYA NA AFRIKA 1995.
Leo 13:15pm,29/06/2019.
George Weah akitokea ligi ya Liberia,moja kwa moja hadi klabu ya Monaco,baadae kuelekea club ya Paris St Germain...
Ile kauli kua you can't have it all hapa Tanzania haina nafasi. Huku Tanzania wasanii wetu wana kila kitu. Utunzi, uimbaji au uigizaji, uandishi, uongozaji, mapambo na kila kitu.
Wasanii wetu...
Masaa machache tangu mbunge Sugu amvishe Pete mchumba wake , aliekuwa Ex wake na mama mtoto wake Faiza Ally amuombea uchumba wake uvunjike ili arudi kwake kwani Bado anampenda
Sent using Jamii...
Aliyewahi kuwa mpenzi wa Mh Joseph Mbilinyi (Sugu) Faiza Ally apagawa na madanga anayoyapata akienda China mara kwa mara.
Faiza amefunguka kuwa anapata madanga hatari ambayo hata akiwatajia dau...
Habari wana jamii JF, Taarifa zilizonifikia toka juzi kuwa Baraka yuko hoi hajitambui(ICU) inchini Kenya baada ya kumeza kete za madawa. Safari yake Ilikuwa kutoka Kenya kwenda South Africa...
Sherehe ilifana sana viongozi kiba wahudhuria akiwemo rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Mwinyi.
VIONGOZI mbalimbali Wastaafu na waliopo Madarakani wakiongozwa na Rais Mstaafu Alli Hassan Mwinyi...
Direct to the topic,Wanajamvi wa
Jukwaa hili mmekua mkichukizwa
Kinyama na nyuzi za uyu chalii
'WASSAPE',,nakupelekea wajombii
Wengine kudiriki kuniombea Ban,
Mala Uzi ufutwe yote ni yechu tu
Me...
Jina la Kiraia
Marshall Bruce Mathers III
Jina la kisanii
Eminem
Nchi
Marekani
Alizaliwa
17 Oktoba1972(umri 44)
Aina ya muziki
Hip Hop
Gangsta Rap
Midwest Hip Hop
Detroit Hip Hop
Horrorcore...
Katika Maisha Ukisema ukatae Mtoto Ni kama Vile Laana utaona Mambo yako hayafanikiwi kumbe wewe ndo unamakosaa!!
Naomba Msamaha sana kwa Mchumba wangu #SARAH_TZ Kiukwelii sikujua why nimekukosea...