Huyu sio WASSAPE..Ila huyu atasubili sana kwa King WASSAPE,Huyu ni msela wake wa karibu sana na WASSAPE. alimuandikia ile ngoma yake ya 'Hey Lover'
@NgarenaroBoy.
Ukiangalia Mara nyingi interview anazofanya diamond especially anapotaja wasanii wake wa WCB Mara nyingi jina la dada yake queen darling alitajigi lakini pia hata tu kupost kazi za dada yake queen...
Mwanamuziki bora wa muda Wote Juma Kakere ambaye mpaka leo Anatamba na kufanya vizuri na nyimbo zake Betty iliyotoka 2001,Pole kwa Safari iliyotoka 2004 na Mama Monica bado anafanya vizuri na Ujio...
Katika wasanii wa Tanzania wanaoongoza kwa unafiki basi Harmonize ni namba moja.
Jamaa ni mnafiki sana yani anajaribu kutafuta huruma ya wananchi kujifanya yeye ni mwema na kutengeneza picha...
Huyu jamaa anajua kuimba ila nahisi anajirahisi sana, sijui nani anayemshauri kufanya collabo kilasiku, nahisi hata siku akikutana na mimi atanikubalia kolabo ya kinyimbo changu cha...
Nimezisikiliza Tetema zote tatu. Ukiachana na original waloimba Vanny boy na Mond, hii na kina Patoranking na Zlatan ni better than ile na kina Pitbull. Unyama aloufanya Patoranking kwenye verse...
Kwanza kabisa nianze kwa kusema sikuwa najiona kama nitaweza kuandika hii makala kwa mfumo wa Uzi huku jf. Ila kwa kuwa mimi, binafsi, ni shabiki wa sanaa haswa muziki na tukio hili linahusisha...
Msanii wa filamu Ahmed Salim maarufu kama Gabo
Dar es Salaam: Msanii wa filamu nchini Tanzania, Ahmed Salim maarufu Gabo amesema wasanii na wadau wa sanaa wanatakiwa kupendana wakiwa hai...
Hv karbuni Konki master Dudu baya, ameokoka kwenye kanisa la Mwamposa (bulldozer), akihojiwa na mwandishi wa Temu online TV, Dudu baya ameongea mengi, amezungumzia uadui mkubwa uliopo kwenye...
Leo nimemsikia Moni Wa Centrozone akilia kwenye kipindi cha XXL cha Cloud's FM wakati kikiwa kinafika mwisho..Nikajiuliza anact au analia kweli??,,inakuaje kwanza mwanaume mzima unalia wakati...
Yusuph Mlela
Dar es Salaam. Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania, Yusuph Mlela amesema anapenda maisha ya kiki, kwamba kila analolifanya katika jamii ni kwa ajili ya kiki.
Ametoa kauli hiyo leo...
Wakuu,
Senga na Pembe wanafahamika miaka mingi kwa umahiri wao wa vichekesho. Kwa miaka mingi ni kama walipotea na kuibuka kizazi kipya kilichofanya wengi kuwasahau.
Wakongwe hawa wameingia...
Naanza na list ya massage zilizopo katika jiji la dar kwa ajili ya kupunguza uchovu kama unazijua nyingine endelea...
1.miriam massage masaki
2.signature massage makumbusho
3...
Habari zenu wakuu,Natumai mko salama...Direct to e' Point,Yule Mjasiriamali msomi wa mambo ya TV Productions na Mrembo ambae pia ni Boss/CEO wa Redio Lake FM 102.5 Iliyopo Mwanza Tanzania...
Naam Wanajamvi Series yetu inaendelea..WASSAPE akiwa kwenye kazi yupo serious..hatakagi kutekwa na starehe ya aina yoyote......#Inaendelea.....Usikose...
To be Continued.
@NgarenaroBoy.
Kwa wale wapenzi wa Muziki wa Bongo flava na wanaofatilia kwa ukaribu watakubaliana namimi makeke ya huyu kijana wa Kimakonde kutokea WCB Label. Kwa kipindi cha Mwaka 2018 hadi sasa amefanya kazi...
Naangalia sana kipindi chako kila nikipata nafasi hebu tupe sifa zetu wanawake,tunafanya mengi mazuri tu we kila siku mabaya tu kutunanga tu,dyadyaa tafadhali hebu siku moja moja ongelea mazuri...
Nyimbo namba moja Youtube Africa mwaka 2019 “Tetema” imefungiwa nchini Kenya.
Kinachoshangaza hii nyimbo ina zaidi ya miezi 6 tangia imetoka ila imekuja kupigwa ban leo, sijui hawa wakenya...