Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hii ndio habari iliyopo ,msanii yeyote ukitaka kutenge na media zingine na wasanii wengine jiweke karibu na record label ya WCB. Dully Sykes amethibitisha Jana wakati anahojiwa na bongo5.,kuwa...
22 Reactions
183 Replies
18K Views
Miss Afrika Kusini, Demi-Leigh Nel-Peters ametwaa taji la Miss Universe 2017 katika shindano ambalo limefanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Planet Hollywood mjini Las Vegas, Marekani...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi wakuu. Arusha ni jiji lilo barkiwa watu wenye vipaji vya aina mbalimbali,tukiacha muziki hiphop uliozaliwa na kukulia Arusha kuna vipaji vingine kama vya reggae na dance. Sasa leo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Baada ya kuona wimbo wa inama wa bwana Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz ukiendelea kusumbua mtaani na kwenye mitandao ya kijamii, kiba akaona isiwe kesi ngoja niuzime huu wimbo kwa kuachia...
5 Reactions
64 Replies
7K Views
Nyie wote mnajuwa kama hamisa mobetto ako na vipaji mingi. Anaimba mziki, model, anaigiza na vingine 😉 Sasa hamisa mobetto ameamua kuanza na career yake ya mpira wa miguu baada ya kufanikiwa kwa...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari zenu wana jf, tuende kwenye mada ,ninachogundua wengi wa watanzania hasa sisi mashabiki ,uimbaji hatujui wala anaeimba hatumjui ,ila ushabiki wetu ,ndio hufanya watu waimbaji, tanzania kuna...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wasalaam... Habari za haraka zinasema yule mtangazi mzuri kuliko watangazi wote nchini na mwenye shape nzuri kuliko watangazaji wote africa mashariki na kati Diva "loveness" ambaye ni mtangazaji...
7 Reactions
128 Replies
14K Views
Amani iwe nanyi wakuu.Ifuatayo ni orodha ya makada maarufu wanaoalikwa bungeni kwa lengo la kwenda kuongeza ushawishi wa maendeleo kwa vijana. 1.Pierre liquid huyu hayupo kwenye kundi la wasanii...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Urafiki wa kinafiki kati ya Mange Kimambi na Hamisa Mobeto unazidi kutia mashaka kila kukicha. Mobeto amekuwa akimtupia vijembe vya chinichini Mange Kimambi katika hali ya kuigiza kama utani, pia...
0 Reactions
66 Replies
15K Views
Wapenzi wasikilizaji. Mpaka leo nyimbo hizi mbili zimefikisha siku mbili. Wimbo wa Mbosso ukiwa na views 640,000 huku wimbo wa Alikiba ukiwa na views 430,000. Naomba tutoe maoni. Ni nani...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Nimefuatilia articles nyingi ambazo zinamuelezea bob marley lakini kuna mahali nimekutana na hii kumhusu huyu jamaa.. Kiukweli hapa ameelezewa vizur hata kwa sie ambao tumezaliwa miaka ya 90s...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
> Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Klabu ya Barcelona akitokea Ajax Amsterdam amepost picha kupitia ukurasa wake wa Instagram akionekana ndani mbuga hiyo > Aidha, zipo taarifa pia za Mshambuliaji...
4 Reactions
43 Replies
8K Views
Wakuu habari zenu! Nikiwa naendelea na harakati zangu huku nasikiliza radio basi imepigwa ngoma moja ya msanii wa kike kutoka THT. Aisee huyu Dada wa kuitwa Jolie mi ananidatisha sana na sauti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanamziki nguli na number 1 diamond platnumz amefikisha followers mil 7 kwenye account ya insta pia hiv karibuni alifikisha subscribe mil 2 siku zinapozidi anazidi kuongeza fan base nje ya nchi...
1 Reactions
76 Replies
7K Views
Bengali ladies are famous for their beauty all over the world. And when it comes about the beauty of the actresses then I must say that all the actresses of any region are really beautiful. The...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wapendwa!! Kichwa cha habari kama kinavyo sema!! Hit Maker wa "INAMA" DIAMOND PLATNUMZ maarufu Chibu Dangote a.k.a Baba yake Tiffa Dangote amekuwa wa kwanza kufikisha subscribers Million...
10 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…