Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Katika account yake ya instagram amethibitisha kuwa ni mgonjwa kutokana na matumizi makali ya AC na kufanya kazi bila kupumzika you know
10 Reactions
249 Replies
33K Views
Shaken not stirred...hivi toleo jingine la movie hizi pendwa ni lini maana nimesaka online sijaona kitu. Nilichokiona ni mtanzania Kupita Nyong'o kutoka jijini Mwanza atakuwemo kwenye movie hiyo...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Huyu Kaka alikuaga mpole mwenyewe sijui shetani gani kampitia, Na si alikua anajiita Sukari ya warembo huyu, ndio maana siku hizi kila wakati wanagombana na V kwa sababu zisizokua na msingi kumbe...
1 Reactions
125 Replies
28K Views
Huu wimbo unazaidi za masaa 24 yani siku moja na account ya Jamaa inazaidi ya subscribers 7M lakini wimbo hauna hata views 1M Swali langu diamond anawazidi wapi mbona wimbo wake ndani ya masaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa ilikua ni video shooting ya wimbo wa Mwana FA habari ndio hiyo mwaka 2007...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima Hiyo video...
15 Reactions
213 Replies
34K Views
Inaripo website moja kutoka Zimbabwe, Inasemekama mzee Mengi kamuachia jack more than $560M I love it!! BREAKING : 75-Year Old Tanzanian Billionaire Dies & Leaves $560m For His 39-Year-Old wife...
1 Reactions
66 Replies
13K Views
Habari wana jukwaa Leo naomba nimuulize huyu bibie regina mengi...Jee ameolewa?jee ana watoto...hali ya mahusiano jee.... Kwa mnaomjua tafadhali huyu bibie ni mpole sana anavyoonekana mstaarab na...
11 Reactions
87 Replies
64K Views
ROSE NDAUKA, CASSO WAMWAGANA Rose Ndauka MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na mwanamuziki wa Kizazi Kipya aliyekuwa akimsimamia kazi zake Said Kassim a.k.a Casso wamemwagana rasmi baada...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Wanazengo acheni masihara, Ma photographers wa domo ni Ma handsome bwana , warumi mie ningekua na roho ya kuhonga hawa wa kaka ningewaweka ndani waachane na habari za kutanga tanga kupiga picha...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Mmmh yan Toka Kaka yetu ashinde biko nasikia siku hzi Ana mashauzi, anajikuta sultan, ata kuongea siku hizi kabadilisha, mxieew yan mashauzi yote Kisa pesa za mwanamke, kweli umechelewa kuingia...
8 Reactions
65 Replies
9K Views
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha habari nyepesi nyepesi Deogratius Rwayunga bado anatangaza?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki. Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara...
13 Reactions
101 Replies
12K Views
Sasa jaman huddah, unatafuta kujichoresha tu , hao wadosi wa ki Nigeria wangeanzia wapi tu kukusingizia kuwa unajiuzaga Nigeria ? Mbona wasimsingizie vera? Hao wanaigeria kwanza wamekujuaje? Na...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Wote ni marafiki, walikuwa yamoto. Mmoja anasapotiwa na superbrand Clouds FM, mwingine anasapotiwa na Wasafi FM. Wote wana nyimbo Kali, na wote ni wakali kushinda diamond(mzee) na alikiba(mzee)...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Jamani Sasa na wewe kifesi, why would you go to media and brag about another man tying to force you to https://jamii.app/JFUserGuide him ? That's so juvenile, na wewe Harris kapiga, shame on you , kwan mabasha huwaon...
9 Reactions
124 Replies
23K Views
Ikiwa leo ni Mei Mosi , wananchi wa Mbeya wamebahatika kuwa na Sherehe mbili kubwa , moja ni siku ya Wafanyakazi Duniani na nyingine ni siku ya kuzaliwa Mbunge wao , mtu pekee aliyefanikiwa...
12 Reactions
41 Replies
3K Views
  • Closed
Msanii wa mziki wa Hip-hop Tanzania maarufu kwa Jina la Nikki wa pili ameweka bandiko katika mtandao wa Instagram.Bandiko hilo limeonekana kama ni kashfa dhidi ya kitabu kitakatifu Cha Biblia kwa...
1 Reactions
80 Replies
11K Views
wakuu,huyu mama toka nianze kuijua itv naskia tu yeye akitajwa kama ndiye mkurugenzi wa itv. so nauliza yeye ana hisa hapo itv au,mbona hastaafu?
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…