Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii Drake atumia TSh. Bilioni 230 kununua ndege yake Msanii wa muziki Marekani, Drake amethibitisha kumiliki ndege yake binafsi 'Air Drake' ambayo ni Model 767 yenye vyumba viwili vya...
7 Reactions
46 Replies
9K Views
Kwa masikitiko makubwa napenda kutoa pole kwa familia nzima ya Prof Mutahaba,CMG ndugu jamaa na marafiki kwa kumpoteza kijana mahiri,visionary mastermind wa tasnia nzima ya burudani nchini,hakika...
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi...
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Kizuri kula na mwenzio. Ila mademu mna roho mbaya sana yaani kwenye hela ndo unampindua hadi rafiki yako ili umnyakue bwana ake kisa hela. Sasa madam rita anasota na bss yake itv katimuliwa tbc1...
10 Reactions
40 Replies
21K Views
She is a simply stunner one, nimekapenda buure.
10 Reactions
157 Replies
62K Views
Unajua kifesi kwenye ile Audio alikua anampa mtu umbea tu kwenye simu , hakujua kama anarekodiwa, so akawa anaropoka umbea wote, hata nahis baadhi ya mambo alikua anaficha, Ila hawa watakua tu...
7 Reactions
63 Replies
10K Views
Naona ni muda mrefu account yake ya instagram hapost chochote picha zote amefuta nahisi kama kuna kitu kinamsumbua huyu kijana yupo wapi
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nilikuwa nimechil tuu ghafla Eatv wakaonesha video ya jamaa mmoja hivi. Nikajiuliza hii ngoma ya nani mbona imetulia hivii?? Nikaja kucheki wimbo unaitwa sijakusahau '. Jamaa mwenyewe mwenye hiyo...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Ni neno analopenda kulitumia Diamond na Bila shaka kuna watu wengi tu wanaojiuliza nin kilefu ama maana ya WCB. kwanza ifahamike WASAFI. siyo neno tu la kujifurahisha.kwamba diamond huwa...
1 Reactions
90 Replies
45K Views
Kingbae wake Kumbe mburula tu kama dai ..aache kuvamia vitoto ..awe na age ya kila le mutuzus le super mbebez ...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Yaan kikitokea kifo waswahili lazima tutafuta mchawi nan Hakika bila shaka jack na mzee mengi walikuwa na mapenzi ya dhati walipendana kiukweli hawez kufanya upuuz huo wanaoufikiria hususan kwa...
13 Reactions
270 Replies
24K Views
Wale mliokuwa mnasubiri zali la kuwa queen of social media networks mmechelewa the king himself is now engaged to a woman of his dreams. Wifi aliyepatikana kigezo chake kikubwa ni kuto MUOGOPA...
13 Reactions
103 Replies
19K Views
Ila Leo tukinao kajua kunikomeshea mtu , kumbe bidada nae yuko vzur kwenye kuchamba🤣, halafu Ana matusi hatari , nimeshangaa Bi kigagula alivyojibu kwa upole vile utadhan Sio yeye, Ila nimegundua...
36 Reactions
445 Replies
54K Views
Few days after her husband departed, Jina la JACKY MENGI ndio Jina liliongozwa kutajwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii, umaarufu wake umeongezeka maradufu Mara Mia ya ilivyokua awali kabla ya...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Kati ya watangazaji wa Clouds FM waliopewa nafasi na hawajui kutangaza basi huyu ni mmoja wao..anachapia mfano hakuna,hawezi kusoma habari(Tangazo let say)...Anabrag brag tu... Sio wivu ,ila...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Just have a look at people ambao zari Ana hang out nao, then kabisa bila aibu tulikua tunamfananisha na vikatuni vyetu vya hapa bongo ambavyo havijielewi, Ila wabongo Tuna dhambi, zari is a woman...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Mzee Reginald Mengi ndiyo keshaondoka duniani na Mke wake Jacqueline Ntuyabaliwe kabakia kutunza familia yao. Kwa kufuatilia Maisha yake baada ya kuolewa na Mzee Mengi nimebaki na swali kama...
9 Reactions
126 Replies
15K Views
David Beckham amepigwa marufuku kuendesha gari kwa miezi sita baada ya kupatikana akitumia simu wakati akiendesha gari. Kapteni huyo wa zamani wa England amekiri makosa. Mahakama imearifiwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndani ya muda mchache huyu Pampula kapotezwa maboya watu wameshampotezea.Matukio ya kufuatana ya Msiba Wa Mengi , Mitusi ya Bashite msibani, Video feki ya Gwajima n.k. Sidhani kama ile ahadi ya...
14 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…