Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Tuliokua Jana ukumbini au tunafatilia kwenye mitandao show nzima ya alikiba" Funga mwaka na king kiba" tulete mrejesho. Nakiri tu kwamba alikiba ni talented professional musician na atabaki kuwa...
13 Reactions
57 Replies
9K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema Siku kadhaa sasa Mtangazaji maarufu na msomaji wa taarifa ya habari clouds Tv Harris Kapiga haonekani Mjengoni,yuko kwenye kazi zake binafsi ya uhamasishaji...
0 Reactions
47 Replies
14K Views
Waungwana habari! Nimekuwa nikisikia mara nyingi watu wakisema msanii ni kioo cha jamii. Wamekuwa wakisema hivyo kwa maana kwamba watu humtazama msanii na maisha yake na wao huishi vivyo hivyo...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wameonyeaha creativity ya hali ya juu
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Akiongea na bongo5 msanii Abdul Kiba amesema Mbosso ni moja kati ya wasanii anaowasikiliza sana mwaka huu 2018. Na wimbo anaoupenda zaidi ni Nadekezwa... Kiba aliyasema hayo huku akiimba kwa hisia...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
The biggest lesson learned this year 2018 is probably to not give so much of yourself to people who will not do the same for you! #mdgoat Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
2K Views
mwanaume wa nguvu huwezi kuta anaongea hivi aisee hebu tanzama hiyo link mahojiano yake na bongo5
3 Reactions
140 Replies
20K Views
Ndio maana msela alipoona Diamond kaanzisha mahusiano na Tanasha, King Akaamua kuachia ngoma ya Yeeeebabaaaaaaa aaaaaa! Sikujua hicho kionjo kilikuwa kinalennfa Nini ila Sasa nimeshajuwa
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kijana diamond toka alipoanza kufahamika mwaka 2009 kupitia wimbo wake wa nenda kamwambie amekuwa ni mtu wa kupanda tu bila kutetereka... licha ya kutabiliwa mabaya mengi lakini wapi.... Kuna...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
A stunning African beauty! Sent using Jamii Forums mobile app
8 Reactions
31 Replies
4K Views
Kiukweli hakuna kitu kinachotuumiza kichwa kama chanzo cha mapato cha Irene Uwoya. Nimejaribu kupeleleza sana haswa kwa watu wa karibu wa Irene Uwoya nipate kujua anafanya kazi gani lakini...
3 Reactions
82 Replies
16K Views
Meneja ricardo momo huyu anawasimamia wasanii walio chini ya wcb Diamond huyu ndio mwanzilishi wa wcb na mtu wa pili kwa hisa wasafi media Mlezi ambaye ni mwanahisa akiwa na mameneja tale hana...
9 Reactions
68 Replies
22K Views
tumezoea wanamuziki wengi wenye sauti tamu na vocal ni wale ambao enzi za utoto wao walipitia madrasa ambapo kaswida iliwatengeneza mpaka leo hii wanasauti tamu. Ila wapo ambao wenyewe mwenyezi...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Tamthilia yetu imeanzia hapa leo,ni somo adimu Inagusia namna pia wa Ottaman (waislaam) walivyo ona fursa katika Mgawanyiko wa RC ukiongozwa na Luther. I love what am watching
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ana nyimbo nyingi ila huu wa nipe kukumbuka wema unanibariki sana. Yani nikiusikiliza siwezi kufuru kwa kumlaumu Mungu kwa lolote aisee. Enjoy kizazi kipya cha Gospel inayopendwa hata wasiyokuwa...
12 Reactions
99 Replies
12K Views
Mzee wa upako baada ya kuona wasafi tv kuna kipindi cha nyumba ya imani nayeye akaomba awe anaendesha kipindi chake siku ya jumapili lakini ombi hilo limekataliwa na Mshauri wa vipindi na...
6 Reactions
58 Replies
9K Views
makakati unaendelea hapo chagua ufuate matakwa yao ama uhamie upande wa pili
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mwanaume halisi wa dsm,naona anamuiga chris brown,ni mwendo wa vikukuuuuu babaakeeee
1 Reactions
208 Replies
76K Views
Msanii wa Muziki Diamond Platnumz aeleza walichozungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Mrisho Kikwete nyumbani kwake. Diamond amesema kuwa alimuuliza kuwa ni kweli mmedondoka? baada ya...
10 Reactions
24 Replies
8K Views
jamaa ameamua kuwapiga chini kisa shutuma za uzurumati wa pesa na skendo ya sara wa harmonize ndio maana hata baada ya kupata ajali kimya hata kumpa pole
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…