Msanii hitmaker wa mziki Darasa kaibuka na kali ya kufungia mwaka baada ya kimya cha muda mrefu...this time kaja na "Tofauti" ingia hapa kuskiliza dude la kimataifa
Sku hzi huyu dogo simuelewi elewi..anaimba nyimbo ambazo naona kama anapotea hvi....nyimbo kama huko kwetu, natafuta kiki, mbeleko, unaibiwa, zezeta..zilimfikisha mbali sana..sasa naona anaanza...
Katika vitu ambavyo akili yangu inakataa kuamini ni kuhusu huyu binti anayeitwa Dorah.
Wengi wanadai ni mtu mzima lakini bado siamini kwa sababu hana kigezo hata kimoja ambacho kwa kiasi fulani...
Za saa hivi mheshimiwa !
Pole sana kwa kazi, na hongera kwa kulitumikia taifa letu.
Mimi binafsi nina maswali machache ambayo ningependa uyaclear wewe binafsi na sio kama chama. Tokea kifo...
Ati hamisa mobetto ameenda US basi wako wana mshangilia ati a meenda marekani 😂 yani watanzania ni watu wa ajabu huwa wako proud na vitu vya ajabu kama walivyo wenyewe 😂😂 watu wasiowahi kusafiri...
Hajasahau alivyotekwa na wewe ukiwa mhusika mwenye mamlaka ya kuhakikisha anarudi hata hukuhangaika na ulikuwaga na majibu ya ajabu kweli
labda siku hizi inawezekana umeanza kuwa na roho soft...
Hatimae muigizaji maarufu wa vichekesho nchini Tanzania Ankoo Zumo anaye igiza pamoja na Familia yake yaani Mwanae Maisala na Na mke wake (Mama yake Mai)
Ambaye amejipatia umaarufu sana nchini na...
Kituo cha Sound city Africa kimetoa nomination za tuzo zao kwa wasanii waliofanya vizuri barani Africa mwaka 2018 huku wasanii nguli Wizkid, Davido, Diamond,Tiwa Savage wakiongoza kwa nominations...
Tukianzia msaada wa Tsh millioni 68 kule Sumbawanga na kule Zanzibar Diamond ametoa zaidi ya Tsh Millioni miamomja kwa mda mfupi tu
inasemekana msaada alioutoa ni sawa mshahara wa Bdozen wa miaka...
Moja kati ya watu wanaoiharibia clouds na kuipotezea mashabiki ni hili kundi la shilawadu, Vijana wamekuwa ni watu wa shari sana na hawapendi maendeleo ya waliowazidi kimaisha.
Bifu la Platnumz...
Huyu kijana ni moja kati ya wanamuziki bora wa hip hop bongo.Ni mtunzi mzuri sana na pia uko very creative kwenye kutupe vile tunaita mistari kwenzi.
Series ya sinaga Swagga imenikosha mno hasa...
Dada yangu najua ni jinsi Gani ulivyoumia pale watu walivyokuwa wanakushambulia mitandaoni kwa maamuzi uliyochukua kwa kuolewa na mtu mwingine ambaye uliona ni sahihi kwako.
Kiukweli tokea...
Kupitia account yake kwenye mtandao wa Instagram usiku wa leo amepost video yake ya kwanza.
Watu kibao wanashangilia ujio wake.
Wasanii wenzie tunafurahi kwa ujio wake, nafikiria kurekodi nae...
A 24-year-old US rapper Cedrick Smith popularly known as YouTube star CeddyBu Rap Sumo has died following the car accident he was involved in, hours after New Years Day.
According to the...
Sipenzi mawazo Ya kupewapewa
Na ndo mana mi sipendi bure
Sipendi ukoloni hasa mkoloni mweusi
Na ndomana joh mi siendi kule
Ili tu mi nile zile chuki zile
Hunijui kivileNyani haoni kundule
You...
Miss Mexico Venessa Ponce yatwaa taji la Miss World 2018, huku Miss Uganda akitwaa taji la Miss World Africa.
Mashindano ya Miss World yamemalizika huko China kwa mrembo kutoka nchini, Mexico...