Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwaka huu bado unashikiria record kwani ni mwaka ambao wanamuziki wengi walitoka zaidi ya miaka mingine toka bongo fleba ianze 1.noorah- vijimambo 2.Q-chief- aseme 3.ngwea-getto langu...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Kwa mliotazama game ya Coast Union Vs Mbeya City jana, vipi mfalme alifanikiwa hata kutoa pasi moja ? Sikupata muda wa kuangalia nasubiria marudio azam tv leo.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ni habari njema kwa wasanii wa Tanzania kuona wanapewa heshima ya kutosha,tulishazoea kuona wanasiasa tu ndio wanapewa heshima kama hii,sasa ni zamu ya wasanii natamani siku nyingine kusikia...
8 Reactions
55 Replies
9K Views
Wiki iliyopita Msanii Baraka Da Prince alijigamba kuporomosha mjengo wa maana na kudai ametumia kiasi kikubwa sana na bado haujaisha. Jeuri hiyo ikapelekea hata kubadilika kwa kiswahili chake na...
5 Reactions
74 Replies
27K Views
Jana kwa mara ya kwanza kaanza ! coast vs mbeya city, nilikua ktk pilikapilika zangu sikuwahi kuuangalia, baadae saa 5 usiku ulirudiwa nikiwa job nikawa naibia jicho kwenye tv ili nimuone mfalme...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Ni miaka imepita lakini hii ngoma ya 'dhahabu' ni bonge la hit ambalo hadi leo ikipgwa lazima watu waamke. Je, katika wimbo huu unadhani nani ndio alifunika kati ya Joslyn,Blue au...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wazee wenzangu wapenzi wa redio hasa rfa juzi apa napita mtaani nikaskia sauti ya presenter bora kabisa wa miaka ya 2000s anatema cheche Uyu ndugu nilipata kumkubali sana hasa kwenye kipindi cha...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Jana usiku kutokana na mvua kubwa kunyesha ilibidi Diamond platnumz atangaze kusitisha show na kuahidi kurudiwa siku ya leo saa kumi jioni , Diamond amesema kuwa Show itakuwa ni buree Wachawi...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Sumbawanga Hakufai, Jana Show Ya Wasafi Haikumalizika Yote baada Ya Mvua Kubwa Kunyesha, Haijulikani Ilitokea Wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kilele cha mashindano ya miss world kimekamilika huku Kwa africa mashariki tukifanikiwa kuwakilishwa na Uganda ambao wamefanikiwa angalau kuingia katika tano bora. Kama Uganda wamefanikiwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Jamaa allikuwa ndio diamond wa kipindi kile ilikuwaje akafeli kumnyonyoa huyu kigori alikuwa anaazima hadi magari kwenda kumlia mingo huyu mlimbwende wa taifa au dada kwa kuwa ni mchaga aliona...
6 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari zenu wana jf natumaini mko poa na wengine mnajiandaa kwenda kanisani,nawatakia jumapili njema,ila mimi nimefulia ki ukweli.
0 Reactions
7 Replies
786 Views
Kwema wakuu, Wengi wamekuwa wakinifata inbox kuniuliza kama malipo yetu ya fiesta tumeshalipwa yote. Kiukweli bado hawajamaliza lakini wametuahidi ikifanyika Fiesta ya Dar watakuwa wamekusanya...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Draw was fair results, nilikuwa namchukulia poa Furry but kaniprove wrong. Nimegundua Wilder alikuwa anakutana na wazembe wa Marekani, Leo ndo kakutana na fundi. Kilichombeba Wilder ni zile 2...
0 Reactions
1 Replies
590 Views
Chid Benz Mkali toka ILALAAAAA dah amenikumbusha mashairi ya HIT SONG Mmenisoma. Ndani ya ngoma kuna sehemu CHUMA ana ghani.... "mwenye dawa mfukoni nyonga tumeze".[emoji15] Pia mbele kidogo...
11 Reactions
51 Replies
14K Views
HABARI ZA WEEKEND WAKUU wakubwa shikamooni na poleni na mihangaiko ya weekend twende kwenye point kama heading inavyosomeka hapo juu....hawa nitakaowataja naona ndio maproducer(bora) ambao...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari members! Wimbo mpya wa chama la wana WCB utachiwa hivi punde kuanzia saa 19:00 East Africa kuanzia sasa. Wimbo huo unaitwa Paranáwe. Najiuliza hili siyo tusi jipya WCB wanataka...
2 Reactions
21 Replies
24K Views
Kwangu mimi ili mwanamke awe sexy kitu cha kwanza lazima awe na tumbo flat. Mange Kimambi is so sexy jamani. Tutafuteni hela wanaume ili tuweze kumiliki watoto wakali kama hawa coz my experience...
11 Reactions
146 Replies
28K Views
Huyu dada kwa sisi tunaomjua tunajua alivyokuwa now days anajishauwa lakini enzi hizo wakati anatoka na pingu wa alikuwa mbovu sana kipindi kile anatokea kwenye video ya Joanith kama Video Queen
4 Reactions
40 Replies
11K Views
Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Queen Darleen ameushangaza umma wa Wakenya baada ya kudai kwamba mtu akikosa kufanya mapenzi kwa muda mrefu anachanganyikiwa kabisa. Muimbaji huyo aliyasema...
2 Reactions
50 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…