Mwanadada Nandy amejikuta akivua nguoa na kubaki na nguo za ndani baada ya kupanda jukwaani na kuimba nyimbo zilizowapandisha mzuka mashabiki wake na kuanza kumshangilia kwa nguvvu na kujikita...
Ripoti: Mfumo wa uongozi WCB, mikataba ya wasanii pamoja na wanaomiliki hisa nyingi za kampuni
WCB ni moja kati ya label kubwa za muziki nchini Tanzania yenye mafanikio zaidi kutokana na ukubwa...
NILIKUA SIJAMUWISH star wetu chaumbeya nambari moja insta wengine wanajikongoja
Nimechelewa ila,,,,,ngoja nikuwish tuuu
Happy birthday to you #carrymastory
Heshima Zanu JF Great Thinkers.
I see WCB wana work hard sana kugrow bigger and bigger. Mimi nikiwa kama mdau na supporter wao nimewaza nishauri hili wazo.
Ni kuhusu kuendeleza vipaji vya...
Wadau mimi ni Beat ya wimbo wa MIKASI wa ManNgwair na Beat ya wimbo wa NIKUSAIDIJE wa prof Jay. Aisee hata kama nimekasirika naanza kupata raha tuu. Yani natamani kucheza au kutingisha kichwa...
Tukubali tukatae Mbosso ni msanii mkali kabisa wa kizazi cha sasa cha bongofleva.
Ana aina yake ya uhandishi, anauimbaji wa tofauti wa pwani, ana weza kutengeneza idea nzuri ya nyimbo.
Naweza...
Wakuu,
Familia ya Muna Love imekubali kuwa msiba utakuwa kwa mzee Peter ambaye alikuwa mume wa Muna, sasa je? Casto ataenda msibani hapo?
Endapo ataenda ni nini kitatokea? Kaa tayari kwa ubuyu...
1. Mume wa Zari, Ivan hajafa yupo hai amejificha sababu anadaiwa
2. Nyumba ya South Africa sio ya Diamond
3. Zari ana mtoto mkubwa ambaye anadanganya ni mdogo wake
4. Lowassa ana ugonjwa wa...
JULAI 28, mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alimteua aliyekuwa mshindi wa pili wa mashindano ya ulimbwende Tanzania (Miss Tanzania 2006), Jokate Mwegelo...
Heri na siku ya kuzaliwa kitoto Cha Taifa na kitoto cha msaniii mkubwa Africa na East Africa kwa ujumla nchini Tanzania Diamond platnum aka chibudee ,baby Dee tulikupigania hadharani mpaka leo...
Malia Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza...
Mungu naomba unisamehe ilaa hawa wasanii wawili wa gospel kwakweli kila nikiwangaliaa huwaa siwamalizi na mapozi yao. Yani lips wanapaka lipshine na wanavyozipandishaa hizo nyusi kwenye picha zao...
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limesema halijawaita wala kufungia wimbo wa Parapanda uliombwa na wasanii wa kundi la Rostam, Roma Mkatoliki na Stamina na kusema kuwa labda wameamua kujifungia...
π΅π€πΌπΆπ΅π€πΌπΆπΌπΆπΌ
π€ for Roma na
π for Stamina
π€Karibu mzee kingunge kwenye makazi ya milele Mimi huku ninamji wangu tayari unaitwa nyerere ,nimeshtuka kukuona huku nini chanzo cha msiba..h,
π...
Kuna mtu anaitwa Mzee Tyson pale WCB, yeye ndio anashare nyingi kuliko mtu yeyote kwenye ile kampuni. Tunaweza kusema yeye ndio mmliki halali wa WCB
Je, kuna mtu mwenye cv yake? Huyu mtu ni nani...
Account yake pendwa yenye followers mil 4.2 ya Instagram imehackiwa.
Update :
ni kawaida kwa wanadam kusema lolote lile hasa kupinga...hebu fikilia watu wanapinga hadi uwepo wa mungu na mamlaka...