Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Katika ari ambayo isiyoelezeka Zamaradi ajikuta akilabwa na Matusi ya Nguoni na Watanzania hii ni baada ya kumuWish Happy birthday@tiffa wa Diamond kwa kumtag@diamondplatnumz pekee bila ya mama...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Angalia hii zawadi ya Miss Kanda ya Ziwa 2018 (Miss Lake Zone) ifike wakati sasa tuache kuwadhalilisha mabinti zetu tunaua morali na vipaji kwa upuuzi kama huu....#WTF UPDATES ============== Baada...
11 Reactions
109 Replies
11K Views
Hawo wasanii aslay na harmonize ndio watakae chukua nafasi ya alikiba na Diamond . Alikiba aliwahi kusema hili kuhusu aslay ‘Tamba Mdogo Wangu Unajua’ huku akiambatanisha na kava ya wimbo huo wa...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Huyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan...
5 Reactions
163 Replies
20K Views
Mara ya mwisho kumsikia DJ huyu aliyepata kuwa maarufu sana nyakati hizo alikuwa radio one. Kwa yeyote ajuaye alipo na anafanya nini atujuze tafahali. Alijua kuyapanga mabuzuki, masebene...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu naombeni mawazo yenu juu ya hili balaza maana tunapoelekea Diamond ataombwa kibali cha kupiga picha na watoto wake[emoji33]
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wimbo kama naliamsha dude na unanifanya nicome kwanini hazijafungiwa? Weusi wamewapa nini mpaka hamjafungia nyimbo hizo? katika nyimbo ambazo zimefungiwa kuna nyimbo zimefungiwa na hazina maudhui...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Salam Wakuu, Napenda kutoa Ushauri kwa Wasanii wa Bongo fleva ,Ni Wazi kwa Sasa video zina quality na soko Wamelikamata,Ila Kwenye upande wa Music bado.. Sijui uoga unatoka wapi wakati wana...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mwishini mwa mwezi wa saba,dunia kama sio Tanzania,tulipata ujumbe kutoka kwa Diamond kwamba kutakua na Birthday party ya mwanae Latifa huko bondeni kwa Madiba!! Party itakua live kupitia channel...
6 Reactions
35 Replies
6K Views
Mchezaji anayekipiga klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' pia aliyewahi kuzichezea Simba SC na Coastal Union ya Tanga Abdi Banda, alfajiri ya leo Agosti...
3 Reactions
54 Replies
13K Views
Muigizaji mkongwe nchini India, Salman Khan amehukumiwa kwenda jela miaka mitano baada ya kukutwa na hatia ya kuua wanyama jamii ya swala miaka 20 iliyopita. Salman Khan mwenye miwani akipelekwa...
2 Reactions
168 Replies
28K Views
Nyimbo mpya ya rayvan imekua habari ya mjini Nyimbo nzuri sana hii Team wcb tunazidi kufunika Kwako umeipokeaje?
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Leo ni arobaini ya mtoto wa Zamaradi Mketema. Kaalika mastaa mbalimbali kwenye siku hii special ya kijana wake King Salah. Mastaa nao wamejitahidi kupendeza kwa kuvaa kinaijeria. Mama Salah na...
10 Reactions
180 Replies
47K Views
Juzi alfajiri ya Aprili 19, mwaka huu, Kiba alifunga ndoa na mrembo Amina Khaleef katika Msikiti wa Ummul Kulthum uliopo mjini Mombasa, Kenya. Ndoa hiyo ilifungishwa na Sheikh Mohamed Kagera...
3 Reactions
59 Replies
24K Views
Yaani mnacopy kuanzia melody, beat hadi style ya kucheza. What a shame? Halafu ndio mnataka mshindane na Wanaija wakati mnawacopy kilakitu? RAYVANNY hapa umepotea this is too much, dancers nanyie...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Hello guys, Nimefanya observation kwa mastaa wengi wa kike hapa Tanzania kama vile Jokate, Lulu, Wema, Wolper, Kajala n.k. Wengi wao ni warembo na kwenye mvuto haswa lakini pamoja na umaarufu...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Ndio hivi wagosi wa ndima kuvaa uzi rasmi ambao utakuwa na nembo ya kinywaji kinachongojwa kwa hamu sana mofaya
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Nimecheka sanaaa, kumbe Diamond naye anatumbuwa majipu!!
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Mzuka Wanajamvi. Katika huu wimbo wake wa My heart to you ndiyo ilikuwa music video yake the humble Giant ya mwisho. Ilikuwa very simple and humble Na aliifanya kwenye ranch yake. Check pozi la...
12 Reactions
152 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…