Song Lyrics: Return to Sender
Artist: Elvis Presley
Year: 1962
Return to sender, return to sender
I gave a letter to the postman, he put it his sack
Bright in early next morning, he brought my...
Katika hali ile ambayo inajulikana ni ushindani wa kibiashara kati ya Wasafi na clouds media. Wasafi wameamua kuja na tamasha la wasafi festival kuzunguka mikoani kama fiesta ya clouds wafanyavyo...
Saleikhum waungwana..
Nimeamua kuitikia wito wa Wasafi tv ifikapo sa moja unusu niwe runingani kucheki kipindi chao kipya walichozindua jana "Nyumba ya Imani".
Dooh naangalia hapa nakuta ni...
Harmorapa msanii wa kiki mjini, baada ya kukaa muda mrefu amekuja na style hii akiwakejeli WASAFI kwa kushindwa kumlipia meneja wao Babu Tale pesa anazodaiwa mpaka kwenye kesi yake. Sasa katoa...
Meneja wa Tip Top Connection na wa Diamond Platnumz, Babutale anakabiliwa na mtihani mzito baada ya mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam kutoa hati ya kukamatwa kutokana na kudaiwa kutotii amri...
Kama sikosei huyu jamaa alikuwa anaitwa Richard na alishiriki kwenye Big Brother Africa. Sijui alipoteleaga wapi. Naona amepiga "ugimbi", sasa anakata mauno kama hana akili nzuri vile. Ha ha ha...
Ufafanuzi.....
Tale ametiwa mbaroni kwa amri ya mahakama kuhusu kesi ya madai ya Bwana Mbonde ambaye anamdai Tale 240 Milioni,hivyo kesi haihusiani na taarifa ya makosa ya mtandao kwa kuvujisha...
mashabiki wengi wa muziki wa bongo fleva tunamjua babu tale kama meneja wa tip top... wasanii kama madee, tundaman, dogo janja, keisha na wengineo wote wapo chini ya babu tale...
ila bosi baada...
Naona sasa wanamuziki wa Marekani wameamua kununua makanisa ili kujiongezea umaarufu na hata kuongeza kipato kutokana na sadaka zinazokusanywa makanisani..
Nini siri ya maamuzi haya kwa...
Tofauti na masuper wengine ambao ukiangalia interviews zao mtazamaji utajifunza kitu kutoka kwake, na ataku-inspire kwa namna moja au nyingine.
Huyu mheshimiwa, kati ya maswali 10 atakayoulizwa...
Artist: Bob Marley
Song: Babylon System
Album: Survival
Year: 1979
We refuse to be
What you wanted us to be;
We are what we are:
That's the way (way) it's going to be. You don't know!
You can't...
Q Chila amethibitisha nyumba yake kuvamiwa na majambazi na wamefanikiwa kuiba baadhi ya vitu vilivyomo ndani ikiwemo laptop iliyokuwa na baadhi ya colabo zake.
Akiongea na Clouds FM, muimbaji...
Jana nimeibiwa laptop, power window, head rest, redio na mkoba uliokuwa na makabrasha na nyaraka mbalimbali nilipokuwa Mlimani City mida ya usiku. Walinzi wa Mlimani City wanasema kuwa wao...
Samahani nauliza:
Hivi huyu Mrisho Mpoto kwanini havaagi viatu?!
Unajua simwelewagi kabisa huyu mtu?!
Kuna siku nilikutana nae pale Makumbusho anapekuaaa skunyingine nimekutana nae Posta mpya...
UCHAMBUZI WA WIMBO
JINA LA WIMBO: SIKOMI
MSANII : DIAMOND PLATNUMZ
UTANGULIZI
Diamond Platnumz ni msanii wa muziki wa kizazi kipya (bongofleva) kutoka Tanzania. Anaiwakilisha nchi yake na fasihi...
Akiwa mdogo alipendelea kwenda malishoni kuchunga mbuzi,
Akiwa na miaka 7 tu, aliwapeleka koondoo na mbuzi milishoni kila mifugo hao wakifika eneo moja kila siku wakaonja majani.ya mmea...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wana JF MMU leo nimepitapita huku na kule social mediani duh ! kumbe mapemzi huwa...
Beyonce ameanzisha dini yake..Watu wanamuabudu yeye kama muungu wao..
Wasio jua maandiko wanamlaani Beyonce ..They think they know better than Beyonce ..
In the Bible at Psalms 82 : 6 God is...
Hakuna kesi ngumu Dunani Kama ya kusuluhisha wapendanao
Mke anaongea yake
Mume anaongea yake
Mwisho wa siku kitanda ndio kinaamua Kama wanapendana au la
Ushauri: Wadogo zangu Giggy Money...