Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Zari Akutana Na Hamisa Uganda Atoa Sababu Kwanini Hataki Interview
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona graph ya richi mavoko tokea ajiunge wasafi inazid kupanda day after day. Kwa wale tuliokuwa tunalalamika na kumponda kwa nn mavoko kajishusha kwnd kusimamiwa kazi na lebel ya wcb, kwa kweli...
6 Reactions
32 Replies
6K Views
Hivi nini kinaendelea kwa huyu bi dada loveness love a.k.a deeva wa clouds, kwasababu lately amekuwa akipost Instagram ujumbe ambao katika hali ya kawaida unaweza kuhisi kuwa hayupo sawa kabisa...
25 Reactions
160 Replies
21K Views
Sasahivi tunabanana hapa hapa, siamini kama nawewe (Sepetunga) sikuhizi unafanyia shopping kariakoo. Ahsante Mr President.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Daah kwa sisi club bangers hii inakuwa zawadi nzuri sana kwetu sisi kipindi kama iichi karibia na sikukuu .....msanii rayvanny kaachia bonge la ngoma umo ndani yumo na madj wawili mmoja wapo ni dj...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Muda mrefu kumekuwa na minong'ono ya chinichini kwamba kuna baadhi ya wasanii pale WCB wana uwezo mkubwa tatizo nyota wengine uwezo wao mdogo ila wanabebwa na kiki. Wapo wanaodai Rayvann ndiye...
0 Reactions
72 Replies
22K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo Yule dada snura mush wa majanga anatafuta mwanaume wa kumupa mimba azae Sunura kaweka waz swala hilo baada ya dar...
2 Reactions
47 Replies
9K Views
Kweli pesa inambadilisha mtu, harmonize huyu huyu ambae alikua hajui hata kusema "thank you" leo anabonga ungeli kama hana akili nzuri, hofu yangu ni je alikiba tayari amesha weza na yeye?? maana...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
wakuu. ni furaha kubwa sana kwa watoto wa Diamond Tiffah na Nillan wakimsubiri Baba yao mdogo azaliwe ili waanze kucheza nae itakua furaha sana kumpata Baba mdogo a.k.a mtoto wa Shamte.
6 Reactions
49 Replies
8K Views
Nimeipenda nyimbo imekaa kiafrika ila nahisi beat ilitakliwa iwe better than that
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Dk. Harrison Mwakyembe December 16, 2017 alizindua mfumo mpya wa Kieletroniki wa Utambuzi wa Wanamuziki ambao utaanza kutumika nchini kwa ajili ya kulinda maslahi ya wasanii. Moja ya vitu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwimbaji wa marekani Jason Darulo mwenye urefu wa meta 1.84 na hit maker wa Tip Toe alomshirikisha French Montana atataka Rayvvany wa WCB wasafi kushirikishwa kwenye remix ya Tip Toe hivi punde...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
=> Caption za Istagram naandika mwenyewe na naona naandika maneno ya kawaida wala simpigi mtu vijembe. => Watu wengi naona wanantukana Zari na yeye hapa hana ndugu kwahiyo nikiona hivyo lazima...
5 Reactions
125 Replies
38K Views
Nauliza tu, maana kuanzia mwakajana kumeibuka utitiri wa vijana wanaoimba muziki huu, je kabla haujaaanza kutambulika mtaani walikuwa wanaimba nini, au walikuwa hawaimbi?
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Nadhani kwa picha hii kila mmoja atakubaliana na mimi chanzo cha lipsi denda za Dangote na Prince wake[emoji1] [emoji1] ni huyu bi mdashi
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Ama kweli Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake....Dr. Shika kabadilika kabisa. Looks so executive
21 Reactions
78 Replies
10K Views
Wasanii wa kike wa bongo muvi wamechukia sana kauli ya Shamsa Ford baada ya kuwaambia kuwa hawamfikii kwa uzuri Irene Pancras Uwoya hata ukucha . Kauli hiyo ya Shamsa Ford iliibua mjadala mzito...
0 Reactions
43 Replies
12K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Hemedy PhD amefunguka mambo kadhaa kuhusu yeye kuwa baba wa watoto sita. Muimbaji huyo ambaye anatamba na ngoma ‘January to December’ ameiambia Planet Bongo ya...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Rose Muhando Amrushia Ujumbe Magufuli
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Anasema alikuwa hamjui Bashite ila sasa kamjua na anampenda sana. Nakuuliza wewe Wema umemjua Bashite kwa vile unataka ufutiwe kesi. Kwanini upoteze utu wako kwa tamaa ya pesa. Mbona akina...
10 Reactions
85 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…