Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Karibuni, Nimekutana na taarifa 'njema' ambazo zinamhusisha msanii wetu pendwa, Vanessa Mdee ambaye alishawahi kuitwa Central na Makonda, kwamba amepata dili nono la kusaini na Lebo ya Kimataifa...
4 Reactions
60 Replies
9K Views
Kada huyo anayependa sana lugha ya malkia ingawa yenyewe haimpendi amepost tena kwa msisitizo mkubwa kuonyesha umahiri wake mara baada ya kujichimbia chimbo kwa muda mrefu akibukua ki english
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia muimbaji Rose Mhando kwa tuhuma za kujipatia shilingi 950,000 kwa njia za udanganyifu Kamanda wa polisi mkoa wa Singida Deborah Magirimba...
2 Reactions
71 Replies
19K Views
Kweli Siasa hazina adabu baada ya Wema Kurudi CCM na kusema yupo nyumbani amuita RC wa Dar Le Brother. Kasahau yale yote ya nyuma Kesi za Madawa na kila kitu. Maneno yote aliyoyasema wakati...
5 Reactions
120 Replies
15K Views
Ni dogo janja akimuwish mke wake kipenzi heri ya kuzaliwa na maneno matamu na mazito pia:
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe Juma mosi December 16, 2017 alizindua mfumo mpya wa Kieletroniki wa Utambuzi wa Wanamuziki ambao utaanza kutumika nchini kwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau nimejaribu kuusikiliza huu ujumbe wa Mama Kanumba kwa LLulu,nikajiuliza kama Lulu angekua mtiifu kwa Mama kanumba je angeweza kuomba mahakama ifute kesi? Je kukomaa na ile kesi ilikua ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Diamond Platnumz, anazidi kujitanua katika nyanja za kimataifa. Katika Album yake inayotarajiwa kutoka Jan 2018. Moja ya kibao ktk Album hiyo ni Baila, ambayo amemshilikisha Miri Ben Ari, Mchawi...
3 Reactions
30 Replies
18K Views
Staa huyo wa nyimbo kama niwe wako na mapenzi ni ya wawili amepotea sana kwenye tasnia ya muziki,sauti yake tamu na nyororo ilitakiwa iendelee kutuburudisha katika vipindi mbali mbali vya...
4 Reactions
57 Replies
13K Views
Nimepata kufaham hivi karbuni kua msanii Nay wa Mitego alikua na mahusiano na huyu mwanamke ambae mara nyingi nilikua naona videos zake mitandaoni ila nilikua simjui. Najiuliza Nay msanii mkubwa...
5 Reactions
72 Replies
10K Views
Habari wanajamvi...Ni matumaini yangu mu salama!! Mwaka 2017 umekua mwaka wa mafanikio makubwa sana kwenye tasnia ya burudani nchini Tanzania hususani kwenye industry ya MUZIKI ukilinganisha na...
3 Reactions
72 Replies
16K Views
Dar es Salaam.Nyota wa filamu wa Nollywood nchini Nigeria, Ramsey Noah amemkumbuka msanii mwenzake Steven Kanumba akisema ndiye aliyejenga daraja la ushirikiano kati yao. Amesema Kanumba ndiye...
1 Reactions
31 Replies
10K Views
Babe Kabae popote ulipo kama unasoma ujumbe huu na endapo bado upo single naomba uni-PM nahitaji tuongee uwezekano wa mimi kukuoa kama hautojali.
0 Reactions
39 Replies
10K Views
Kwenye baadhi ya familia za Kitanzania Mtoto akionekana kutumia mkono wa kushoto huwa anakatazwa na Wazazi ambao wanaamini mkono wa kulia ndio sahihi kutumika kwenye kuandika na matumizi mengine...
3 Reactions
77 Replies
11K Views
Kwa kwl kwa huu mwaka unaenda kuisha huu wimbo wa huy mlimbwede gigy umesumbua sana. Na kwa upande wangu nikiambiwa nitaje wimbo bora kwa mwaka huu 2017, nampa papa una kila sifa ya kuwa ndo wimbo...
6 Reactions
21 Replies
6K Views
Rapper kutoka majuu anaekwenda kwa jina la rick ross ambae naamini watu wengi wamemjua baada ya kushirikishwa kwenye ngoma ya Diamond "waka Waka" anathibitisha ule msemo wa hip hop hailipi bongo...
1 Reactions
51 Replies
18K Views
Mm Hip hop fan pia composer and raper. Natamani kufanya kazi na Duke,Palla,texas au ray teknohama. Nataka nirekod wimbo wa kusikiliza tu ghetto sio wa kupeleka redioni. Naomba kama wapo jf wani PM...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna safari ya wana JF kwenda kutembelea jiji la Tanga sasa mko tayari?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni matumaini yangu wazima kabsa wadau WA JF. Katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii hususan instagram..nimekutana picha za mwanadada WA kiganda ambaye pia Ni shemeji yetu( Zarina...
0 Reactions
41 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…