Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

HISTORIA iliyowekwa Julai 8, mwaka 2017 ya kufunga ndoa kati ya Mbunge wa Jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye pia ni rapa mkongwe kwenye muziki wa...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mmoja wa Watu wanaoaminika kuwa ni Mbabe kama siyo Mtemi na Ngumi Jiwe wa kutukuka Kalapina jana wakati akihojiwa na Kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds fm...
13 Reactions
118 Replies
16K Views
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Dudu Baya amedai muziki wa rapa Nay wa Mitego hautofautiani sana na muziki wa Gigy Money na Amber Lulu huku akidai ni muziki uliotawaliwa na majungu na...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Kama ingetokea Huyu Mwanadada anaajiriwa Leo Clouds unavyoona angefaa ku host kipindi gani?
0 Reactions
64 Replies
11K Views
He was asked: You have been married for a while, how have you been able to hold your home together? I must give it to my wife (Mrs Emelia Philips-Nouah). She’s a triple woman. She’s not like...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ni mmoja wa MC's ambao walijijengea umaarufu mkubwa kwa uandishi na flow....natamani huyu msanii na wenzake kama akina Imamu Abass warudi tena tusikie ladha zao.... naomba tujuzane kuhusu nyimbo...
2 Reactions
47 Replies
11K Views
Wakuu leo niliamua nisikilize nyimbo za wanamuziki (wanaoimba tu) wengi wa bongoflava wale wa zamani na hawa wa sasa. Nilichokuja kugundua Q Chief bado ni mwanamuziki wangu wa miaka yote. Sahau...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Msanii Diamond amedai licha ya kuwa na skendo nyingi ipo siku atakuwa waziri wa michezo na sanaa nchini ili kutatua changamoto katika muziki na michezo ambazo serikali imeonekana imeshindwa Pia...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa wa jukwaa hili katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Wasanii madogo wa hapa bongo ambao ni wakali wa kuflow na mashail yaliyoenda shule pia ndo madogo wenye...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mashabiki walimrushia msanii Shilole chupi akiwa jukwaani huku wakimtaka aivae chupi hiyo, baada ya kumuona alivyovaa ilikuwa sio
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Serikali ya magufuli inapambana vikali na mimba za utotoni au kwa wanafunzi kwa ujumla, kwa wiki 3 zilizopita serikali imeweka msisitizo kuhusu watu kuwapa mimba wanafunzi na kuwakatishia masomo...
4 Reactions
75 Replies
11K Views
Kwa wapenzi wa Ali Kiba kaa tayari kwa colabo yake na Davido kama inavyoonekana kwenye hiyo video
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Habali kamili Baada ya msanii wa kizaz kipya kutoka pande za kigoma ommy dimpoz kuachia ngoma yake mpya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
It's been 20 years since Tupac's tragic death. When you think of Tupac, you may think of him as a legendary rapper, actor, poet, and voice for the young, black community. But one title you...
2 Reactions
2 Replies
7K Views
Jana young killer msodoki alidondosha kichupa chake kipya ambacho humo ndani amemshirikisha msanii kutoka lebo ya WCB, cha ajabu video hiyo toka imewekwa jana usiku mpaka sasa inaongoza kuwa na...
2 Reactions
61 Replies
40K Views
Katika zunguka zunguka huko YouTube leo nimeona wimbo mpya wa Diamond unaitwa Eneka upo kama nyimbo za Tekno kinamna flan ila ni mzuri. Naona kaamua kufyatua tu midude kimya kimya. Diamond...
1 Reactions
55 Replies
16K Views
Bila kumungunya maneno huyu demu ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben Pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na mwanaume kuingia mzima mzima bila kuchelewa...
9 Reactions
161 Replies
26K Views
Mwimbaji na Mbunge wa Mikumi Profesa J, Leo July 8 2017 amefunga ndoa na mpenzi wake Grace . Picha 4: Kutoka kwenye ukumbi inapofanyika harusi ya Rapper Profesa J na Mke wake Grace .
7 Reactions
52 Replies
11K Views
baadhi ya wafanya kazi wa Clouds media kama perfecto alicheka nusu kuzimia ila soudy brown akaishia kuanzisha mada instagram kwa kuandika maneno haya "Kabla ya yote kwanza Tujadiliane kuhusu...
3 Reactions
137 Replies
25K Views
Nilipoona watu wanampondea demu aliyeomba kutembea na Ben pol ilibidi na Mimi nijiridhishe kuutafuta ukweli na bahati nzuri nimemuona Live, kwenye video na picha pia. Hata Mimi nahitimisha kwa...
0 Reactions
111 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…