Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
30 Reactions
196 Replies
8K Views
Masaa kadhaa yaliyopita Kendrick Lamar ametoka kufanya show ya kibabe sana kwenye viunga vya Los Angeles California. Show hiyo ilipachikwa jina la POP OUT - KENNY AND FRIENDS CONCERT. Mastaa kibao...
1 Reactions
1 Replies
417 Views
Hivi hili group la BDP (Big Dog Pose) lilikuwa linajumuisha watu gani kwa maana ya majina yao na je wako wapi kwasasa? Nilikuwa na sikiliza Ngoma zao Kama Rudi, majobless na ile Walio...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Naam wakuu,nimejiuliza hili swali baada kufuatilia mwenendo wa ufanyaji kazi wa kituo Cha televisheni kinachomilikiwa na msanii diamond,hasa nikilinganisha na kiwango Cha usikivu wa kituo hicho...
4 Reactions
15 Replies
983 Views
Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya CCM, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp...
41 Reactions
177 Replies
31K Views
Hello bosses and roses, it has been a while... Leo ngoja nimuongelee huyu kinda wa NBA kwa jina la Antony Edwards au Ant-Man, dogo wa 2001 tu hapa anaekipiga kwenye team ya Minnesota...
5 Reactions
105 Replies
3K Views
Haji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa. Ameandika...
10 Reactions
96 Replies
5K Views
Mwanamuziki Mkongwe nchini almaarufu kwa jina la Nguza Viking aka Babu Seya amefunga ndoa takatifu leo jijini Dar na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule. Tunawatakia kila...
24 Reactions
201 Replies
39K Views
Which song of his do you play the most?
2 Reactions
4 Replies
355 Views
Habarini za usiku wakuu, kwa masikitiko mwanamuziki Josky Kiambukuta amefariki dunia mapema Leo huko Kinshasa. Marehemu Josky Kiambukuta alikuwa mwanamuziki hodari aliyeimba katika bendi ya Tp...
9 Reactions
58 Replies
8K Views
Baada ya Mwemba Burton maarufu @mwijaku kusema na kuandika maneno ya udhalilishaji kwa msanii @mauasama hivi karibuni amejikuta akikalia kuti kavu baada ya Maua Sama kupitia Wakili wake, Claudio...
27 Reactions
51 Replies
9K Views
Tangu mwezi uliopita Bambo amekuwa akitrend sana mitandaoni, ni kitu gani kimemrudisha kwa kasi ya 5g? Naona pia watoto wa 2000 wamevutiwa sana na style yake iliyowahi kumpa umaarufu ya...
17 Reactions
60 Replies
3K Views
Hongera Tanzania's sweetheart! Hakika unastahili pongezi Kwa kazi nzuri.
22 Reactions
88 Replies
7K Views
Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu. Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu. Pichani ni...
5 Reactions
87 Replies
2K Views
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi. Cc: kataa ndoa
7 Reactions
61 Replies
6K Views
Miaka zaidi ya kumi Watanzania bado hawajategua kitendawili, Diamondi atashuka lini kwenye huu music wa Bongo Fleva. Wengi wamebakia kubashiri nini kipo nyuma ya mafanikio makubwa aliyopata, na...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira. Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja. Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
21 Reactions
602 Replies
18K Views
TANO KALI ZA NASIBU . Kabla matikiti hayajaanza kudondokeana yalistawishwa kwenye kitalu bora kabisa Cha bishoo bob junior pale sharobaro records. Nasibu Abdul Juma hakuviiba na kuviuza Vito vya...
8 Reactions
61 Replies
3K Views
Leo nimeukumbuka wimbo wa ''jumba bovu''" nimemkumbuka mchizi wa Dar Skendo. Kuna nyimbo zake kali zilizobamba kama "Baisho" akiwashirikisha unique sisters na wimbo "njoo cheza nami" Yuko wapi...
4 Reactions
44 Replies
10K Views
Jana imesambaa Video ya kalighlaf akijisifia kuwa hakuna rapper yeyote BONGO TZ anaemuweza ku rap "Labda maneno ya wahenga masikini akipata mato.." Kalighlaf BONGO amekuwa introduced na NIKKI...
23 Reactions
165 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…