Kama ni kuaga Mwaka darasa wimbo wake umetushika vilivyo.. .ni baada ya watayatishaji wa vipindi clouds TV kuonekana katika taarifa ya Khabar wakiwatakia watazamaji heri ya Mwaka Mpya kwa...
Mtanzania Millard Ayo achaguliwa na shirikisho la soka Afrika katika list ya Waandishi watakaoripoti michuano ya Afrika kutoka uwanjani
Michuano hiyo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Januari 14 2017...
Mkali wa muziki wa bongo Ali kiba anatarajia kufanya show katika miji mbali mbali nchini Marekani kuanzia mwezi March April 2017, hii si Mara ya kwanza kwa mwanamziki huyo wa bongo flavour kwani...
Dudu Baya alisema watu hao ni Kenge na hawawezi kumtishia mamba
Pia kusema kuwa watu wanapoona yupo kimya wanadhani huenda amefulia na kusema yeye yupo busy na...
Msanii wa bongofleva Darassa ambaye jina lake limeongoza kwa kutajwa mara nyingi kwenye
namba kubwa za chati za Radio/TV Tanzania
kutokana na hit single ya ‘muziki‘ amekaa kwenye Exclusive...
Rapper Young Killer anadai kuwa wimbo wake
mpya, Sinaga Swaga umekuja kuirudisha ‘real hip
hop’ kwenye mstari. Amedai kuwa kipindi cha hivi karibuni rappers
wengi wa Bongo wamekuwa wakilegeza...
Watanzania wenzangu nimeshtushwa sana Na ujio wa Baba Mchungaji Masanja Na mkewe.Mchungaji masanja hebu jipime elimu ya uchungaji umeipata lini Na wapi? Mchungaji masanja uchungaji in taalum hebu...
Waziri Nape nauye amemkabidhi bendera ya Tanzania msanii Diamond platnumz ambae kesho anaondoka kwenda nchini Gabon kutumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano ya AFCON itayoanza weekend...
Huyu kijana wa hip hop nimesikiliza ngoma zake kadhaa kama makaveli, nipende, shots, kuntu na leo nimesikia ngoma yake mpya inaitwa "stay true", nakiri huyu dogo anaweza sana. Ana rhymes, lyrics...
Wakuu kama hii imetokea marekani Chriss Brown na Soulja boy watakinyunda kule dubai. Wataingiza pesa mingi. Nchini hapa promota achukue wazo. Pay for views tutapata wengi. Team diamond vs team...
Imezoeleka hadi mtu afe ndo sifa zake zinatamalaki na nyimbo zake kupigwa redioni muziki unabadilika watu wanakuja na kuondoka katika Industry ya Hip Hop ya Bongo kwa sasa Nick Mbishi & One(uno)...
Diamond platnumz ameuanza mwaka 2017 kwa kishindo baada ya Jana kushinda tuzo nchini Nigeria kama most searched personality across Africa.
Habari njema kwake tena ni kwamba weekend hii ameshinda...