Habari wakuu!
Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia.
Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe...
Napenda kumpa ushauri mdogo wangu Ally Salehe Kiba aende akaombe kusainishwa WCB kiroho safi ili akuze mziki wake bila ya hivyo natabiri baada ya miaka miwili ijayo hatoweza tena kumkaribia...
Kgmotso Christopher ndio jina lake halisi lakini wengi wapenz wa isidingo wanamfahamu kama Katlego...
Huyu dada nampenda tu bas. Embu sema neno lolote kwa huyu dada kwa wapenzi wa Isidingo!!.
mara baada ya team za pande mbili kuendelea kushamiri katika mitandaoni hali hii imewanyima nafasi wasanii wengine wa bongo kufanya vizuri nyimbo 10 ambazo zimeshidwa kufanya vizuri 2016 ni hizi...
Msanii Alawi Junior amesema nyumba aliyodai kununua Baraka yeye ndio alimtafutia mama mkwe wake ambaye alikuwa anatafuta nyumba na alipo post kumpongeza mama mkwe hakujua kwamba Baraka alikwisha...
Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii.
Diamond ameibuka tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika...
Star wa bongo movie Anti Ezekieli amedai kuwa aliyekuwa mpenzi wa mose iyobo anamuandama sana
Anti ezekieli amedai mwanamke huyo amekuwa akituma watu kuja nyumbani kwake na kuchota mchanga kwa...
Mimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.
Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na...
Natamani Dully aingie kwenye hizi tuzo kwa mwakani ktk kipengere cha Msanii Chipukizi kama alichoshinda Harmonize jana.Tena waingie Dully Sykes na T.I.D Mnyama ktk kipengere hicho huku Harmonize...
Socialite wa kenya Hudda Monroe amesema anamsubiria kwa hamu Raymond wa WCB akipata hela, hiyo ni baada ya Raymond kupost picha mtandaoni kuuliza mashabiki ni nini kinachomsibu?
Kama ushawai isikia hii ngoma unaweza ukakubaliana na mm kuwa hii ngoma ni moja ya collable bora kabisa kuwahi kufanyika apa bongo
Hapa solo sang pale prof na katikati mfalme wa rhymes afende...
Inavyoonekana kaunti 001, au ukipenda kaunti ya Mombasa inatarajiwa kupata masupastaa mpwito mpwito mwaka huu.
Baada ya kumleta Chris Brown Mombasa, Gavana wa Mombasa, Gavana 001, almaarufu...
Mchekeshaji maarufu Stan Bakora amefunguka juu ya povu
lililomtoka Barakah The Prince siku kadhaa baada ya
kuachia parody ya wimbo ‘Nisamehe’.
Kupitia kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Stan...