Msanii King Crazy GK aliyetamba na ngoma zake kama vile sister sister na sauti ya Manka ambaye alitikisa vilivyo na style yake ya kuchana ingawa alikuwa na kigugumizi
Ila kwa sasa GK wa sasa...
Naheshimu muziki wa GK lakini kwa nlichomsikia anasema ni wazi kua atakwama...umepotea kwenye anga ya muziki then unarudi halafu unasema kua hufanyi show chini ya milioni 30. Dah aisee...diamond...
Ili kuipa kiki zaidi nyimbo yake Diamond amepost video ya Wema akiimba wimbo wa Salome, pengine Wema amejirekodi na kumtumia Diamond ili wote wawe gumzo kwenye media za udaku tzz
Leo ndo siku ya kutangazwa nominees za tuzo za Mtv Mama's awards 2016 ungana nami kukuletea vipengele live
Pia kura safari hii zitapigwa kwa mtindo huu wa hashtags kwny social medias
mfano...
Huyu nae Salome juwa huyu ndo simba akitua town kukumbiza swala, digidigi, Twiga, Viboko, yurt hadi minyooo just persevere. Lakini jaandae kuoga maji ya baharini kuondoa nuksi
Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki na hasa muziki wa dansi ingawa nyimbo nyingi sizijui. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana kuwasikiliza Washirika Tanzania stars na mpaka sasa nikisikia nyimbo yao...
Taarifa nzuri kwa mashabiki wa Davido, Sony Music kuachia kazi zake soon!!:
September 22, 2016 mtu wangu wa nguvu, nakusogezea taarifa nyingine nzuri kutoka kwa Davido star wa muziki kutoka...
Huyu ni mtanzania ila bahati mbaya hapa home(Tanzania) hajulikani ila kwa UK naona yuko moto siku si nyingi atakuwa mbali sana.
After spending his early childhood in Tanzania, Tiggs moved to...
Baada ya Diamond Platnumz kutajwa kuwania tuzo za MTV MAMA 2016 zinazotolewa na kituo cha TV cha MTV Base Africa, sasa Tuzo nyingi zinazidi kutambua juhudi na kazi yake kwenye muziki wa Tanzania...
Ali Kiba mbwa wake mpya ameamua kumuita jina la ruby na kupelekea watu wa karibu na kiba na mashabiki zake(teamkiba) kumuita binti na chipukizi wa bongo flave mwenye sauti nzuri Ruby kushindwa...
Video ya wimbo ‘Salome’ ya mkali wa muziki, Diamond Platnumz imefikisha views miloni moja katika mtandao wa YouTube kwa kipindi cha siku mbili. Video hiyo ambayo inaonyesha kufanya vizuri zaidi...
Huyu jamaa kwanza mim namkubali maana kwa juhudi zake amesaidia sana Diamond kuwa pale leo. Shida niliyonayo jamaa anapenda sana majungu kila akipost kitu instagram lazima aweke maneno ya vijembe...
1:Faiza Ally, huyu aliwahi kuwa mpenzi wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi ila kutokana na tabia zake za ajabu ajabu hatimaye mheshimiwa aliamua kunyoosha mikono na kuachana nae ,
Kwa kudhihirisha hilo...
Ama kweli ukiwa na nyota ya kupendwa dunia yote hii utaiona tamu balaa
Mwanamuziki ambaye pia ni mume wa Kim Kardashian na muanzilishi wa dini ya yeezus Kanye West ana nyota ya kupendwa kwa kweli...
Msanii Roma alishushwa jukwaani huko Morogoro baada ya kutuhumiwa kutoa matusi juwaani, Roma anadai hakutoa matusi ila alikaribishwa kuimba ila akaimba akaboa watu na ndio maana walimshusha
Amedai...